Hayupo wa kuvuruga amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wachapakazi,
kakundi ka waropokaji wachache wapiga mdomo hakuna kitu watafanya kuvuruga utulivu au usalama wa mTanzania yeyote.
Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya kisheria na kikatiba. Mkiuka sheria na katiba ya nchi yeyote yule, atashughulikiwa vilivyo tena bila huruma na vyombo vya ulinzi na usalama, na akishakua neutralize atafikishwa kwenye vyombo vya kisheria bila kuchelewa,
Yote hayo yatafanyika kwa maslahi mapana ya waTanzania wote