Swali Gumu : Washambuliaji wa Lissu wanafahamika, nani wa kuwakamata?

Kumbe ni kweli ni askari wa usalama wa taifa hahaha umeona eeeh, intelligence ya chadema imefanya kazi nzuri sana. Huyo askari ni kweli alitumwa kwa kazi maalumu tu kummaliza lissu sema kastukiwa

Kama anawatambua huyo Dereva wa Lissu kilichomkimbizia mafichoni ni nini? Kama kina sie mtu anakutishia tu kingumi unakwenda kuchukua RB why not wao? Hapa kuna jambo limejificha hapa. CDM mtatuambia tu siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mna bongo maji kweli. Akammalize kwa kipi? Au umesahau msaada mkubwa ulitoka Dodoma tena hospital ya serikali? Ingekuwa ni kqmq mnqvyowaza si ingefanyika hapa hapa Dodoma? Jaribuni kutuliza akili zenu jamani mnatia aibu. Hata kama mnalipwa kuchafua serikali basi naona kama wanawalipa hela za bure maana kwa hili mmechemka sana. Kapata ajali kama ajali zingine
Washambuliaji ni walewale waliowahi kutajwa na Tundu Lissu, wametajwa na Dereva Wa Lissu ambaye anasema hadi anawafahamu kwa sura kwani amekutana nao Mara kadhaaa ( ingekuwa wanakamatika na kuna Wa kuwakamata kwa sasa wangekuwa mikono salama kwa ajili ya uchunguzi

Washambuliaji wamewahi kulipotiwa na Nape Nauye wakimfuatilia.
Mlisikia kukamatwa kwao? Leo hii ukiandika hata kwa utani mtandaoni kuwa Shaka au Jokate nitakupiga Kofi tukitukutana, hata kama utakuwa nchi ya mbali utatafutwa ikibidi kwa kutumia Polisi Wa kimataifa. Iweje hawa wengine?

Wauaji wanajulikana je nani Wa kuwakamata?
 
Bavicha ni wepesi sana kudanganyika
Eti amekutana nao mara kadhaa!amekutana nao sokoni au barabarani,kwa nini hakupiga ripoti polisi?
Walikuwa hawajafanya tukio, ila sasa hivi wakionekana taarifa itatolewa polisi.
 
Washambuliaji ni walewale waliowahi kutajwa na Tundu Lissu, wametajwa na Dereva Wa Lissu ambaye anasema hadi anawafahamu kwa sura kwani amekutana nao Mara kadhaaa ( ingekuwa wanakamatika na kuna Wa kuwakamata kwa sasa wangekuwa mikono salama kwa ajili ya uchunguzi

Washambuliaji wamewahi kulipotiwa na Nape Nauye wakimfuatilia.
Mlisikia kukamatwa kwao? Leo hii ukiandika hata kwa utani mtandaoni kuwa Shaka au Jokate nitakupiga Kofi tukitukutana, hata kama utakuwa nchi ya mbali utatafutwa ikibidi kwa kutumia Polisi Wa kimataifa. Iweje hawa wengine?

Wauaji wanajulikana je nani Wa kuwakamata?
Tuwekeeni picha zao sisi raia tutawakamata tu
 
Kuna wakati nchini Uingereza kuna mwanasayansi alikutwa amekufa bafuni kwake. Uchunguzi uliendelea pamoja na forensic science hakuna aliyemgundua muuaji. Hitimisho la polisi kulikuwa marehemu alijiingiza mwenyewe kwenye mfuko lakini hakuna anaejua zipu ya mfuko ilijifungaje.
Ukiifanyia tathimini sana kesi hiyo unaona kulikuwa na mkono wa MI5.
 
kwa nini asiende polisi akatoe ushirikiano tu,mbona jambo dogo sana hilo?mnaogopa nini?
Tunaogopa wangapi? Mimi ningewafahamu ningesaidia polisi kuwadhibiti.
Sidhani kama pia polisi wameshindwa kumpata na kumhoji huyo dereva.
Hata hivyo, binadamu ni tofauti na kuku, kumbukumbu haifutiki kwenye ubongo ndani ya dakika kumi.
 
Washambuliaji ni walewale waliowahi kutajwa na Tundu Lissu, wametajwa na Dereva Wa Lissu ambaye anasema hadi anawafahamu kwa sura kwani amekutana nao Mara kadhaaa ( ingekuwa wanakamatika na kuna Wa kuwakamata kwa sasa wangekuwa mikono salama kwa ajili ya uchunguzi

Washambuliaji wamewahi kulipotiwa na Nape Nauye wakimfuatilia.
Mlisikia kukamatwa kwao? Leo hii ukiandika hata kwa utani mtandaoni kuwa Shaka au Jokate nitakupiga Kofi tukitukutana, hata kama utakuwa nchi ya mbali utatafutwa ikibidi kwa kutumia Polisi Wa kimataifa. Iweje hawa wengine?

Wauaji wanajulikana je nani Wa kuwakamata?
wewe unamsaada sana kwa jambo hili lililopo mbele yetu, ni swala la muda tu
 
Washambuliaji ni walewale waliowahi kutajwa na Tundu Lissu, wametajwa na Dereva Wa Lissu ambaye anasema hadi anawafahamu kwa sura kwani amekutana nao Mara kadhaaa ( ingekuwa wanakamatika na kuna Wa kuwakamata kwa sasa wangekuwa mikono salama kwa ajili ya uchunguzi

Washambuliaji wamewahi kulipotiwa na Nape Nauye wakimfuatilia.
Mlisikia kukamatwa kwao? Leo hii ukiandika hata kwa utani mtandaoni kuwa Shaka au Jokate nitakupiga Kofi tukitukutana, hata kama utakuwa nchi ya mbali utatafutwa ikibidi kwa kutumia Polisi Wa kimataifa. Iweje hawa wengine?

Wauaji wanajulikana je nani Wa kuwakamata?
Chukulia mfano wa umbwa anayetaka kukamata mkia wake kwa mdomo anavyopata shida... Kila akizungusha kichwa, mkia unakuwa upande wa pili hivyo kujikuta anafanya mzunguko usioisha
 
Endeleeni kusubiri serikali ikamate hao watu wasiojulikana.....wakikamatwa mtanijuza kwasasa wache niende kusali kwanza....
 
Chukulia mfano wa umbwa anayetaka kukamata mkia wake kwa mdomo anavyopata shida... Kila akizungusha kichwa, mkia unakuwa upande wa pili hivyo kujikuta anafanya mzunguko usioisha
dog-whining-biting-tail-03-600x600.jpg
 
Washambuliaji ni walewale waliowahi kutajwa na Tundu Lissu, wametajwa na Dereva Wa Lissu ambaye anasema hadi anawafahamu kwa sura kwani amekutana nao Mara kadhaaa ( ingekuwa wanakamatika na kuna Wa kuwakamata kwa sasa wangekuwa mikono salama kwa ajili ya uchunguzi

Washambuliaji wamewahi kulipotiwa na Nape Nauye wakimfuatilia.
Mlisikia kukamatwa kwao? Leo hii ukiandika hata kwa utani mtandaoni kuwa Shaka au Jokate nitakupiga Kofi tukitukutana, hata kama utakuwa nchi ya mbali utatafutwa ikibidi kwa kutumia Polisi Wa kimataifa. Iweje hawa wengine?

Wauaji wanajulikana je nani Wa kuwakamata?
Watu wasio juliikana lakini wanafanya Matukio yanayo julikana
 
Leo tukiwa tunaazimisha mwezi mmoja toka mpendwa wetu apigwe risasi, ningependa kuiuliza Police Tanzania, wamefikia wapi katika upelelezi na kukamata watuhumiwa wa tukio hili? Maana hatupati updates zozote!
 
Unaweza kujipeleleza mwenyewe
 
Polisi wameshindwa ila Jana mmoja wa wahusika alitajwa na watu fulani, hata namba za simu yake pia.
Tungoje tuone move hii
 
Back
Top Bottom