Kama nimekuelewa hapa hoja yako ni kuwa kwa vile binaadam amaeadvance in knowledge na uwezo kulinganisha na Wanyama kama mbuzi... basi hiyo ina halalisha uwepo wa MUNGU.
Kama ni hivyo huyu MUNGU ni wa binadamu tuu na hausiki na wanyama wengine? Au inakuwaje? Kwa nini iwe ni binadamu tuu na sip viumbe wote wapate hiyo Baraka ya kuadvance in knowledge and ability??
Huoni kuwa hii hoja yako inaweza kuwapa nguvu wanaoamini vinginevyo na wewe??
Swali litakuja kwa nini huyu MUNGU Kama yupo ameviacha viumbe vingine hivyo vilivyo na vingine kwenye hali ya kuteseka ili wengine waishi??