Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,755
Swali gani usilopenda mtu akuulize na akikuuliza anakukera?
Hili ulilouliza wewe. Wewe hupendi lipi?Swali gan usilopenda mtu akuulze na akikuuliza anakukeraa??
Hahahahah..Hili ulilouliza wewe. Wewe hupendi lipi?
Umeoa sipendi kuulizwa hili swaliSwali gan usilopenda mtu akuulze na akikuuliza anakukeraa??
Jibu mujarabu kabsaaHili ulilouliza wewe. Wewe hupendi lipi?
Unaishi na nani??? Yan sipendi kabsa kuulzwa hvoHili ulilouliza wewe. Wewe hupendi lipi?
Kwanini?Unaishi na nani??? Yan sipendi kabsa kuulzwa hvo
Swali la kwanini unataka kuacha kazi humo Bank Kuu na kutaka kuja kujiunga nasi?Swali gan usilopenda mtu akuulze na akikuuliza anakukeraa??
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Hili ulilouliza wewe. Wewe hupendi lipi?