Shetani Kafa ndo furaha yetu hayo mengine yanavumilikaWatu walishangilia na kugongeana bia..
Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo...
Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"...
Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu".
Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi....
Mara paap!
Wanung'unikaji wameanza tena, wenye kununa wameanza kukereka...hakuna jema mama anaweza kufanya...mama..hafuati njia wanayotaka aifuate... na gwanda la jeshi likawatifua (ntaligusa hili baadaye inshallah).
Kama alivyouliza jamaa mmoja...furaha Imeenda wapi? Kicheko kimepotelea wapi...
#mwachenimama
#mamasalama
#salamasamia
#tanzaniayasamia
Ndugu Mwanakijiji, frustrations walizonazo baadhi ya watu kuhusu Mama Samia hazizidi msongo mkubwa unaowakabili ninyi ambao mpaka muda huu hamuamini kuwa yule "mungu-mtu" wenu Mwendazake amefariki. He is gone for good. He took some of you guys for a long ride, sasa hamna pa kushikilia. Poleni sana π€Watu walishangilia na kugongeana bia..
Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo...
Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"...
Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu".
Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi....
Mara paap!
Wanung'unikaji wameanza tena, wenye kununa wameanza kukereka...hakuna jema mama anaweza kufanya...mama..hafuati njia wanayotaka aifuate... na gwanda la jeshi likawatifua (ntaligusa hili baadaye inshallah).
Kama alivyouliza jamaa mmoja...furaha Imeenda wapi? Kicheko kimepotelea wapi...
#mwachenimama
#mamasalama
#salamasamia
#tanzaniayasamia
Nasimamia mabadiliko ya kweli..siyo ya watuSasa hivi haufahamiki hata unachopigania , yaani umekuwa chawa kamili
Hapana... hakuna wakati Tanzania ilikuwa kwenye nafasi ya kupiga hatua kubwa mbele kama wakati wa JPM. Kifo tumeumbiwa wote.. wazuri na wabaya, wema na waovu, wanyonge na wenye nguvu! Hata Mfalme Daudi alimlilia Mfalme Sauli aliyekuwa mtesi wake (2 Sam. 1:1-15).Ndugu Mwanakijiji, frustrations walizonazo baadhi ya watu kuhusu Mama Samia hazizidi msongo mkubwa unaowakabili ninyi ambao mpaka muda huu hamuamini kuwa yule "mungu-mtu" wenu Mwendazake amefariki. He is gone for good. He took some of you guys for a long ride, sasa hamna pa kushikilia. Poleni sana π€
Mimi sikujua kabisa kuwa huyu Mzee kumbe ni mtupu kabisa kichwaniUsaliti ni laana
Unatangatanga tu wala hujui unataka niniNasimamia mabadiliko ya kweli..siyo ya watu
Alinunuliwa pamoja na Dr SlaaMimi sikujua kabisa kuwa huyu Mzee kumbe ni mtupu kabisa kichwani
Hatua kubwa kwa kumaliza watu waliomzidi akili na uwezo !Hapana... hakuna wakati Tanzania ilikuwa kwenye nafasi ya kupiga hatua kubwa mbele kama wakati wa JPM. Kifo tumeumbiwa wote.. wazuri na wabaya, wema na waovu, wanyonge na wenye nguvu! Hata Mfalme Daudi alimlilia Mfalme Sauli aliyekuwa mtesi wake (2 Sam. 1:1-15).
πππ...hakuna rangi mtaacha onaSasa hivi haufahamiki hata unachopigania , yaani umekuwa chawa kamili