Swali fikirishi

Swali fikirishi

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,612
Ikitokea mahusiano yote yakavunjwa iwe ndoa,uchumba nk wakasema kila mtu achague anayemtaka je wewe utamchagua uliyenaye kwa sasa?
 
Sawa na uingie duka LA nguo halafu wakuulize hebu chagua nguo sidhani Kama utachagua nguo design ile ile
 
Hilo swali halitakaa litokee kuwa reality litaendelea kubaki fikirishi tuu.
 
hata niwaachie wenye ndoa na uchumba
 
Hilo swali halitakaa litokee kuwa reality litaendelea kubaki fikirishi tuu.
Juzi moja nilosikia kuna mpango wa kufuta ndoa zote ambazo waliozifungisha hawajapewa kibali na Serikali, nangojea itokee kweli[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom