Sindai Mabula
Member
- Sep 11, 2017
- 99
- 96
Anayefuata ni muislamu. Chunguza vijana km Hussein bashe, kassim majariwa na Suleiman jafo. Tutafutane 2025 mmoja wapo atakuwa presidential candidate. Hao wawili wa kwanza ni team ya lowassa na Rostam. Huyo maliamungu wa Dar Es salaam hawezi kupata bcoz mtu wake ni jasusi kutoka Jimbo la mtama.Atakayefuata baada ya yeye ni mwanaye. A.K.A. Mungu wa Darisalama. Hapo mbna mtaimba na kusifu.