Rais Magufuli, mbona Majaliwa aliimba ana imani na Lowassa kulikoni ukamchagua kuwa Waziri Mkuu?

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
1,379
2,533
Amani iwe kwenu wakuu ni majuzi tu CCM imepata mwenyekiti mpya ambaye pia ni rais wa Tanzania Mh Magufuli moja ya sehemu ya hotuba yake alimsifu mwenyekiti aliyemaliza muda wake prof.JK kuwa ni mvumilivu sana kwani ingekuwa yeye ndiye mwenyekiti halafu watu waimbe wanaimani na mtu fulani basi wale wajumbe walioimba wanaimani na mtu fulani wangeondoka wote!

Ndugu rais mbona Majaliwa aliimba ana imani na Lowassa lakini umemchagua kuwa waziri mkuu wako?
 
Kapwila matulu asante sanAAAAA......
Hata Nyie magambaaa lizaboni&co ltd angalieni videooo hiyo,pm kasimama na alioneshaaaa kuumuunga mkono el....
Nyie buku7 mnabisha Vitu visivyobishikaaa mnaumbuka kila kukichaaa
Macho ya BAVICHA yana matatizo. FISI ambalo lilikuwa linasubiri mkono uanguke ni LOWASSA.
 
tunaImani.png
 
mi
amani iwe kwenu wakuu ni majuzi tu ccm imeapata mwenyekiti mpya ambaye pia ni rais wa Tanzania mh.magufuli moja ya sehemu ya hotuba yake alimsifu mwenyekiti aliyemaliza muda wake prof.jk kuwa ni mvumilivu sana kwani ingekuwa yy ndie mwenyekit halafu watu waimbe wanaimani na mtu fulani basi wale wajumbe walioimba wanaimani na mtu fulani wangeondoka wote!

ndug.rais mbona Majaliwa aliimba anaimani na Lowassa lakini umemchagua kuwa pm wako?
mie nilidhani umeweka na ka wimbo kakimuonyesha KMK na yeye anaimba!!!! kumbe ni taarifa tu!!!! hebu angalia kwa makini hii video na kisha uone kama KMK naye anaimba
 

Attachments

  • 13822721_1130506290339706_787767084_n.mp4
    1,012.6 KB · Views: 100
Back
Top Bottom