Swali Fikirishi: Kuna anayewaelewa CHADEMA kwa sasa? Mbona kama wamepotea kabisa? Au ni mimi tu?

amshapopo

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
733
1,268
Habari wadau,

Kiukweli kwa CHADEMA ya sasa sijui inaelekea wapi!

Nimejaribu kumsikiliza Katibu Mkuu wa wa CHADEMA katika press yake ya leo, lakini naona kama amepaniki vile. No hoja.

Kipindi cha miaka ya nyuma katibu mkuu akiongea ni kama nchi inasimama. Saivi no Sera ni kama taarabu vile.

Sorry kama nitakosea ila sioni CHADEMA ikichukua mamlaka iliyonayo mwezi October.

Japo upinzani ni muhimu kwa maendeleo ya nchi, ila kwa mwendo huu sijui.

Kwenu wadau, Je? Kwa mwendo huu CHADEMA itatoboa mwaka huu?

Amshapopo
 
Kwani hujui chadema Wana misukule yao? Ni hao wanayoielewa chadema!!!
 
Mwongo ww,bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…