Swali dogo: Ndizi hupata wapi sukari iivapo?

Rekondoboshiki

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
228
Reaction score
281
Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?
 
Hayo ni maswali fikirishi ambayo wanasayansi huwajiuliza, bahati nzuri wao wakiwa na swali kama hili basi huingia kazini kutaka kujua kwanini hiyo ndizi huwa na sukari, waafrika wengi tumejipa ukomo wa fikra, wengi moja kwa moja watasema ni kazi ya Mungu, ila kwa wenzetu weupe anaingia maabara kuchambua hiyo ndizi....aliyegundua kuwa kuna kani ya uvutano tunaambiwa alikuwa chini ya mwembe embe likambonda...kile kitendo cha yeye kupigwa na embe kilimfanya afikirie sana, kwanini embe limdondokeee yeye na lisiende juu bali lije chini....akaanza kufanya uchunguzi wake baadaye akasema kuna kani ya uvutano.
Hata wewe kama uko serious kutaka kujua unaweza kusoma sana kuhusu ndizi na baadaye unaweza ukafanikiwa na kuja na jibu au nyongeza ya jibu kutoka pale walipofanya wenzako.
 
Basi sukari ingekuwa inatengenezwa kupitia ndizi na sio miwa

Sio kila kitamu ni sukari ..tende ,asali hazina nasaba wowote na sukari ,kama ndio hivyo wakati nyuki wanatengeneza asali wangekuwa wanatumia sukari

Don't confuse sweetness with sugar
 
Mkuu ndizi nadhan inamuunganiko wa chemical nyingi nyingi moja wapo n starch(carbohydrate)

Sasa kadili inavyo zidi kuiva ndivyo ambapo hiyo starch inakuwa converted to sugar

Yaan carbohydrates Ina breakdown into sugar ndio mana inakuwa tamu
 
Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?
Kama utakuwa ulibahatika kufika elimu ya sekondari na ulipata kusoma somo la baiolojia bila shaka mwalimu wako ama wa darasani au wa elimu kwa vitendo (practical) alikufunza kifuatacho:

Matunda hususani ndizi yana kitu kiitwacho polysaccharides (starch) kwa kiswahili huitwa wanga, sasa kutokana na uwepo wa vimeng'enya vya asili, huvunja vunja wanga uliopo katika ndizi na kuzalishwa fructose (hii ndio ule utamu wa tunda) na vitu vinginevyo...

Hii ni chemical process kama zilivyo reactions nyingine za kikemikali ndio maana unahitaji mazingira fulani kama joto stahiki n.k ili ndizi (tunda) ipate kuwa mbivu...
 
Hayo ni maswali fikirishi ambayo wanasayansi huwajiuliza, bahati nzuri wao wakiwa na swali kama hili basi huingia kazini kutaka kujua kwanini hiyo ndizi huwa na sukari, waafrika wengi tumejipa ukomo wa fikra, wengi moja kwa moja watasema ni kazi ya Mungu, ila kwa wenzetu weupe anaingia maabara kuchambua hiyo ndizi....aliyegundua kuwa kuna kani ya uvutano tunaambiwa alikuwa chini ya mwembe embe likambonda...kile kitendo cha yeye kupigwa na embe kilimfanya afikirie sana, kwanini embe limdondokeee yeye na lisiende juu bali lije chini....akaanza kufanya uchunguzi wake baadaye akasema kuna kani ya uvutano.
Hata wewe kama uko serious kutaka kujua unaweza kusoma sana kuhusu ndizi na baadaye unaweza ukafanikiwa na kuja na jibu au nyongeza ya jibu kutoka pale walipofanya wenzako.

Basi sukari ingekuwa inatengenezwa kupitia ndizi na sio miwa

Sio kila kitamu ni sukari ..tende ,asali hazina nasaba wowote na sukari ,kama ndio hivyo wakati nyuki wanatengeneza asali wangekuwa wanatumia sukari

Don't confuse sweetness with sugar

Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?

Mmea unatengeneza chakula chake wenyewe, hili kiweze kujitengenezea jua lazima liwepo kufanya photosynthesis process:
C + H —-> CnHn + O
Huu ni mlinganyo mdogo na simpo, hii CnHn ni carbohydrate Kwa Kiswahili ni wanga zipo za aina nyingi simpo kama glucose na complex cama polysaccharides.
Hazo zikikusanywa zinapita katika mirija midogo ya mmea na kutunzwa mfano hiyo ndizi hapo ni chakula kilicho tunzwa.
Ndivyo sukari inapotokea
 
Kama utakuwa ulibahatika kufika elimu ya sekondari na ulipata kusoma somo la baiolojia bila shaka mwalimu wako ama wa darasani au wa elimu kwa vitendo (practical) alikufunza kifuatacho:

Matunda hususani ndizi yana kitu kiitwacho polysaccharides (starch) kwa kiswahili huitwa wanga, sasa kutokana na uwepo wa vimeng'enya vya asili, huvunja vunja wanga uliopo katika ndizi na kuzalishwa fructose (hii ndio ule utamu wa tunda) na vitu vinginevyo...

Hii ni chemical process kama zilivyo reactions nyingine za kikemikali ndio maana unahitaji mazingira fulani kama joto stahiki n.k ili ndizi (tunda) ipate kuwa mbivu...
Na papai je?
 
Umemaliza kazi. Pia ka elimu ka form four kwenye Chemistry ni muhimu
 
Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?
Mbona huulizi matunda mkuu? Kwa mfano embe mbichi ni chungu sana, ikiiva tamu kweli kweli.
 
Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?
Kijana soma tena soma san biologia na kemia ili upate elimu ya sayansi ya msingi.
Sijui kama umefika Form IV, lakini mawali hayo ungejua majibu yake.
Sukari iko aina nyingi katika mimea,sucrose, fructose, maltose na nyingine nyingi.
 
Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?

Haya Maswali ya kizushi huwa napenda saana kuyajibu

SIKU ZOOTE DUSHE KAMA HAIJASIMAMA HUWA HUISKII UTAMU WAKE WAKATI UNAILAMBA,IKISHASIMAMA HADI UNAINYONYA KWA UTAMU WAKE
 
Mkuu

Ninacho kumbuka ni kupitia mfano huu,enzi za utoto

UTENGENEZAJI WA UMEME KUPITIA LIMAO

Hapa tulikuwa tunatumia sana lemons mbichi kabisa,kwa sababu zilikuwa na acids sana! Yaan hydrogen ions

Hii acid,hupungua kadri homorne inayoitwa ethylene hupungua kwenye tunda

Hii hormone hupungua kadri umri wa tunda huongezeka(kukomaa)

Hii hormon inazuia acid to sugar(fructose),ili tunda lisiive kabla ya wakati.

The same applied to ndizi.

Nyuki aking'ata ndizi changa ,ndizi huiva faster,sumu ya nyuki ambayo ni asidi pia hupunguza hii hormone kwnye tunda,then tunda linaiva

Sio mtalaamu sana haya mambo,wengi watatueleza zaidi
 
Back
Top Bottom