Swala si kutegemea mkopo..swala ni ahadi

Joined
Oct 18, 2016
Posts
14
Reaction score
5
Nibwazi kua gharama tulizosoma kwanzia lakwanza hadi kidato cha sita ni kubwa lakn je wazaz walotusomesha bado wana nguvu za kutosha kumalizia ngwe ilobaki ??? Swala sio kutegemea mkopo ila ahad tulizoahidiwa kipindi cha kampeni ndo zinazotufanya tuone serikal kua msalti kwa ahadi walizozitoa kwamba watatoa mkopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu..zipo wapi ahadi..nguvu tunazotumia kutimua watumishi hewa ndizo zitatumika kuhukum ahadi zenu hewa
 
hivi bado mnawaamini wanasiasa? ahadi ngapi zilishatolewa na hazikutekelezwa? watanzania tunadanganywa kwa ahadi hewa kila baada ya miaka mitano.
 
Licha ya kuw

a ni ahadi ni Haki pia!
 
hivi bado mnawaamini wanasiasa? ahadi ngapi zilishatolewa na hazikutekelezwa? watanzania tunadanganywa kwa ahadi hewa kila baada ya miaka mitano.
Kama kosa tushatenda nadhan tukilirudia kosa tutakua tumethibisha uzembe
 
Back
Top Bottom