figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,758 Reaction score 63,089 May 20, 2013 #1 Waziri Nchimbi ametakiwa kuwakutanisha lady jay dee na Ruge ili wamalize tofauti zao. Hayo yamesemwa na esther bulaya alipokua akichangia. amesema wote wanajenga nyumba moja kwanini wagombanie fito?. mia
Waziri Nchimbi ametakiwa kuwakutanisha lady jay dee na Ruge ili wamalize tofauti zao. Hayo yamesemwa na esther bulaya alipokua akichangia. amesema wote wanajenga nyumba moja kwanini wagombanie fito?. mia