Swahili and English should be mandatory for health

Swahili and English should be mandatory for health

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,574
Reaction score
53,613
Watanzania wamezoea kutukumea sisi Wakenya kwa sababu ya matumizi ya lugha hizi mbili. Utafiti umebainisha kuwa ni muhimu kiafya kuongea lugha mbili. Kwamba ukiegemea kwenye lugha moja tuu kuna uwezekano wa kuadhirika kiakili.
People who speak two languages may be able to ward off dementia for years, regardless of whether they have the ability to read or not, according to a study Wednesday.

The study in the US journal of Neurology is the first of its kind to show that the protective effects of bilingualism can extend to people who are illiterate.

The researchers looked at a population of 648 people in India. All had been diagnosed with some form of dementia. Their average age was 66.

When analysing the data, they found that those who spoke two languages developed dementia about four and a half years later than those who spoke just one language.
Speaking two languages may delay dementia: study
 
What if nikiongea Kinyamwezi na Kiswahili?
Wabongo wengi hamuwezi ongea lugha zennyu za asili, hata salamu pekee. Mimi kwetu Kenya naongea lugha tatu za asilia, Kiluhya,Kikikuyu na kikamba halafu ninayo uwezo wa kuonge lugha za kubuniwa kama Kiswahili na Kingereza.
 
Watz tunaongea lugha tatu za msingi. Ya baba, ya mama na kiswahili. Hatuna ukabila sie kila lugha tunazoza tu. Hongera kwa kuongea kidhungu
 
Hamna, Watz wengi wanaamini eti kuongea lugha za asilia ni ushamba, ilhali huo ni utumwa maana ni kuacha mila na itikadi. Nawapenda sana Wamaasai tokea Tanzania maana hao huwa hawana aibu, wanaongea Kiswahili fasaha na vile vile wanakiongea Kimaasai bila aibu. Ni ujinga na utumwa wa kiakili kudhania eti kwa kuongea lugha yako ya asilia eti ni ukabila. Waza na kuwazua mara mia kabla huja-comment. Ukabila kwetu Kenya umesababishwa na siasa mbaya bali sio kwasababu za kuongea lugha zetu. We celebrate our diversity, 42 tribes with different cultures and traditions. Ndio maana watalii huja kwa wingi kwetu bali na kuwa mumetuzidi kwa tourist attractions. Nyie muna makabila zaidi ya mia na ni wachache tu wanaweza hata salimiana kwa lugha zao.
Asante kwa kunipa hongera kwa uwezo wa kuongea Kingereza, ndio hii ni mojawapo wa lugha muhimu kimataifa. Kiswahili bado hakijakomaa kutumika bila kuchakachua na lugha zingine. Mfano daktari ama muhandisi hawezi somea fani yake yote na kutenda kazi kwa kutumia Kiswahili pekee. Kina mapungufu, huwezi linganisha na lugha za Kichina na Kifaransa. Nimewahi kufanya vikao na wahandisi wa Kibongo, lugha tulitumia Kiswahili lakini hata wao katika ucheshi wao wa lugha hii, walijipata wakitumia maneno ya Kingereza mara kwa mara sababu ya kukosa maneno mbadala ya Kiswahili.
tayari Kenya tumebuni tume ya kuboresha Kiswahili maana ndio lugha ya taifa na iliopo kwenye katiba, lakini bado kuna kazi nyingi ya kufanya.
 
Back
Top Bottom