Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,787
...
Sema hiyo gari ni ndogo, kwa hiyo ukikaa ndani wala uenjoy kiihivyo, ila imara sana, mafuta ula vizurigari nzuri, imara, spare zipo ila bei ghali kidogo, mafuta inatumia kidogo sana. wengi wanasema zinasumbua sensor.
Kuna mwana mmoja aliniondolea misi kwenye GDI mpaka leo mzuka tu labda ukikwama kabisa utest kwa huyo yupo mwananyamala royaMiye ninayo toka mwaka 2009 usumbufu imeanza mwishoni mwa mwaka jana...
Kinacho sumbua ni misi mafundi wengi wa mitaani wamechemka.
Duh zaidi ya 90 hapa mjini unapita wapi na foleni mataa matuta na wavuka barabara labda ungoje barabara la juu mwache jamaa anunue bwana ila mkatazd kama lina ubovu.Gari siyo ya safari wastani wa speed per hour ni 70 hadi 90
Dah, hilo hilo ndio linalonisumbua pia. Nimebadili sensor. Plug zote zinachoma, nimepima mpaka kwa mashine gari bado..Miye ninayo toka mwaka 2009 usumbufu imeanza mwishoni mwa mwaka jana...
Kinacho sumbua ni misi mafundi wengi wa mitaani wamechemka.