Suzuki KEI USED car FOR SALE

Suzuki KEI USED car FOR SALE

HARD BIZNES

Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
16
Reaction score
1
dsmprice|Service in your Hands
⇨Suzuki KEI USED car FOR SALE.
⇨Engine capacity 650 cc
⇨Year 1999
⇨Kilometer 81000
⇨Fully registration is done with number . T208 CUJ
⇨⇨⇨Price / Bei Tsh 8.5 mil
⇨CONTACTS: + 255 714 384535 OR 769 622768
Merry chistmas to you.
 
Attachments

  • 1419572857974.jpg
    1419572857974.jpg
    142.6 KB · Views: 552
dsmprice|Service in your Hands
⇨Suzuki KEI USED car FOR SALE.
⇨Engine capacity 650 cc
⇨Year 1999
⇨Kilometer 81000
⇨Fully registration is done with number . T208 CUJ
⇨⇨⇨Price / Bei Tsh 8.5 mil
⇨CONTACTS: + 255 714 384535 OR 769 622768
Merry chistmas to you.

Kweli hii ni HARD BIZNES, haka kagari ambaki yadi unapata kwa 7, ukiagiza 5 ad 6 leo kametumika halafu unakauza 8.5? kanakuwa kamewekwa na Flat screen ya 55'?? au ndo zawadi ya boxing day? Hebu wataalamu wanieleweshe.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo Gari ingekuwa na milango mitano sawa.. Sa milango mitatu?
Halafu bei yako siyo nzuri kabisa...

JP kinauzwa dollar 200 hadi 400 tu hadi bongo nakuwa nako jumla ni million 5tu sasa wee em nane?

Katakuwa kanakuboa upande wa milango ndo maana unakiuza uagize kengine kwa bei hyo...

Ulaji wa mafuta uko safi pia..

Ok kila la kheri subir mazuzu wanakuja
 
Kweli hii ni HARD BIZNES, haka kagari ambaki yadi unapata kwa 7, ukiagiza 5 ad 6 leo kametumika halafu unakauza 8.5? kanakuwa kamewekwa na Flat screen ya 55'?? au ndo zawadi ya boxing day? Hebu wataalamu wanieleweshe.

Atafute mazuzu
 
Last edited by a moderator:
Baba tunazijua gar vizur sana kwa hako kwa iyo bei hapana kauze porni huko
 
Tatizo lenu wooote hakuna anaejua bei halisi ya hii gari. Tatizo kubwa letu watanzania ni kukoment hata kitu tusichokijua vizuri. Nadhani busara ni kama hujui kitu acha tu kipite. Sio lazima uchangie kila unachokiona machoni pako hata kama hujui. Niushauri tu ndugu zangu
 
Hii ni moja kati ya magari ambayo matumizi yake ya mafuta ni very minimum. Haya ndio magari ambayo bei zake kwa sasa zipo juu kwa sababu hiyo tuuu.
 
Tatizo lenu wooote hakuna anaejua bei halisi ya hii gari. Tatizo kubwa letu watanzania ni kukoment hata kitu tusichokijua vizuri. Nadhani busara ni kama hujui kitu acha tu kipite. Sio lazima uchangie kila unachokiona machoni pako hata kama hujui. Niushauri tu ndugu zangu

ebu nieleweshe uzuri wa hiyo gari versus hiyo price yako
 
Nyongeza kwa kuwasaidia ni kwamba bila ten milion 10 mil hii gari hujaigusa . Bado swala la uelewa ni tatizo kubwa sana . Ila nalitambua hilo na ndio maana tunasaidiana kueleweshana ilihali wote sie niwatanzania
 
Tatizo macho yote yanaenda kwenye price / bila kujua hata ubora na mambo yanayosababisha bei kuwa hivyo. Kwa kuongezea tu bei iliyoandikwa sio sheria kuwa kujadiliana na punguzo tunahitaji bunge la katiba kuyafanya hayo.
 
Bei sio tatizo hata kidogo. Hii ni biashara na kila mtu anajua maana halisi ya neno biashara. Kwa wahitaji siriaz huwa wanapiga simu na tunamalizana vizuri tuu. Ila kwa kuwa sisi hatuelewi ndio maana tunabaki kukoment hapa hata vile tusivyovijua.
 
Sio kwamba nimeanza leo kufanya biashara so nawajua watu wote wanaojua na wasiojua ....na nikiona huruma sana ndio nautumia muda wangu kuwaelewesha wasiojua kama hivi
 
Labda kuwadhihirishia kuwa sijaanza leo wala jana. Unaweza search HARD BIZNEZ ....Tangu instagram .. facebook...na hata google....ukifanya hivyo utanielewa vizuri ....
Zaidi sana ukipenda kujiridhisha na uzoefu wangu unaweza kutembelea WEBSITE YANGU TUNAYOUZA VITU VYOTE ONLINE ...COMPYUTA. DESKTOP AN LAPTOP..FRIDGE...PHONES.....CARS....and much more....
,website yenyewe hii hapa ⇨⇨⇨⇨⇨www.dsmprice.com
Sibahatishi na wala sio mgeni jamani.
Nafurahi kuwaelewesha na natumai sasa mmeelewa ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom