...sababu zipo nyingi;Hallow wadau. Hivi ni kwanini Suzuki jimny zinakuwa ghali tofauti model nyingine za dizaini zake?
Aiseee..... Yani viko juu sana kumbe raha yake ni burudani. Vizuri
...mkuu' bei zake iko juu sana' hasa zile zenye cc0.660, kuliko zenye cc1300 "ni kati ya $20,000 na $15,000" Top quality / Brand new 'fob'"Jamaa umeipa sifa mpaka imenivutia!ni shilling ngapi? minimum au maximum
Suzuki ina 4wd pajero min hazina, pajero mini ina mechanical problem by default Suzuki jimy hazina shida, Suzuki kuna za cc 640 na 1600, pajero mini nicc 660 tu, suzuki ni nzito kuliko mini.Hivi vidude ndio vyenye we hapa kwetu.... Ishu viko juu sana sana. Mkuu kuna tofauti gani kati yavyo na pajero min? Kwani vinaachana karibu 10 times kwenye bei
Suzuki ina 4wd pajero min hazina, pajero mini ina mechanical problem by default Suzuki jimy hazina shida, Suzuki kuna za cc 640 na 1600, pajero mini nicc 660 tu, suzuki ni nzito kuliko mini.
Suzuki jimny ni gari za kitajiri watu hawajui ukitaka uone angalia bei kwenye mtandao huwezi amini kama ni gari dogo
Hivo vidude ni nyokooo hela nyingi sana umepata bei rahisi ni 15millions Tsh
Suzuki na Toyota PASSO ipi ghali?
Jimny kiboko aiseee. Utakikuta cha 1999 si chini ya $5000 kwa FOB TU. wakati hiyo unafikisha passo uani kwako....
Suzuki na Toyota PASSO ipi ghali?
Passo ni CC ngapi?