1. Mimi ninayo iliyo katika hali nzuri lakini sijajua unataka nikupm kwa lipi? Unataka kupata historia ya gari hii na performance yake inapokuwa katika hali nzuri???
2. A friend of mine ana kampuni ya kukodisha magari, na anayo gari hiyo- ipo katika hali nzuri; aku-PM pengine wataka kukodi?
Nambie yupi aku-PM? au wote? na msomaji alipaswa atambue kwa lipi kuwa anayetakiwa kukuPM ni wa kwanza au wa pili au pengine hawa wote wawili hawapaswi kuku-PM?? Grrrrrrr:frusty: