Suzuki Grand Vitara 1998

Suzuki Grand Vitara 1998

Mkyamise

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
526
Reaction score
677
Habari za leo waungwana? Ninaomba kupata ufahamu kuhusu gari lililotajwa hapo juu. Engine yake original imeondolewa ikawekwa ya Noah yaani 3S autimatic 2W. Inatembea vizuri na ninatamani kwenda nayo masafa marefu. Je niniandae na changamoto zipi?
 
Weka plani yako ya safari ipoje na safari km ngapi utaenda na ni wapi wazoefu wapo humu
 
Magari mengine yaliyoungwa bora upande bus tu maana huko road kuna changamoto nyingi sana kama gari yako haipo sawa.
 
Habari za leo waungwana? Ninaomba kupata ufahamu kuhusu gari lililotajwa hapo juu. Engine yake original imeondolewa ikawekwa ya Noah yaani 3S autimatic 2W. Inatembea vizuri na ninatamani kwenda nayo masafa marefu. Je niniandae na changamoto zipi?
Magari karibu yote ya wachagga yameungwa, hakuna shida.
 
Back
Top Bottom