Suzuki Escudo

Suzuki Escudo

Joined
Nov 17, 2011
Posts
62
Reaction score
13
Inahitajika suzuki esucudo milango mitano iliyoko kwenye hali nzuri. Iwe automatic (4-cylinder). Budget 7M
mwenye nayo ani PM tafadhali.
 
Fidel; 9 ipo juu ya budget yangu, thank you anyways!

Wakuu asante kwa PMs nilizozipata, zote nimezifanyia kazi... and still waiting for more taarifa!
 
ipo escudo milango mi3, hali nzuri na inatembea kama kawa, air con ipo ila haipoozi kama kawaida ya suzuki, bei ya kuuzia ni 6m...unasemaje..kama vipi ni-pm...
 
ipo escudo milango mi3, hali nzuri na inatembea kama kawa, air con ipo ila haipoozi kama kawaida ya suzuki, bei ya kuuzia ni 6m...unasemaje..kama vipi ni-pm...

weka detais vizuri, cc, mwaka, km nk tufanye biashara
 
leo ni siku ya wapendanao nami nimekosa wakutoka nae kama uko tayari ni pm tutoke wote.
 
Vipi ya milango mitatu?
Inauzwa Suzuki Escudo, V6, model 1997, Dark Blue & Silver
Kama uko interested na hii ni PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom