B Bizzly Member Joined May 3, 2010 Posts 79 Reaction score 25 Oct 6, 2011 #1 Tafadhali kwa ambaye anafahamu, hivi Suzuki Escudo old model za miaka ya 199...katika showrooms za hapa bongo naweza kupata kwa bei gani? naombeni msaada wa mawazo pia kuhusu chaguo langu hilo.
Tafadhali kwa ambaye anafahamu, hivi Suzuki Escudo old model za miaka ya 199...katika showrooms za hapa bongo naweza kupata kwa bei gani? naombeni msaada wa mawazo pia kuhusu chaguo langu hilo.
jino kwa jino JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 794 Reaction score 192 Oct 6, 2011 #2 zishapitwa na wakati sana, ila ni nzury kwa ulaji wa mafuta
TEMPOLALE JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 302 Reaction score 107 Oct 6, 2011 #3 jino kwa jino said: zishapitwa na wakati sana, ila ni nzury kwa ulaji wa mafuta Click to expand... Hujajibu swali Jino kwa jino, Hajauliza kama zinaenda na wakati au zinakulaje mafuta. Any way Bizzly kwasasa kuzipata kwenye show room itakuwa ngumu kidogo kama unataka ya kununua na upo tayari kununua inayotumika na mtu ni-Pm tuongee
jino kwa jino said: zishapitwa na wakati sana, ila ni nzury kwa ulaji wa mafuta Click to expand... Hujajibu swali Jino kwa jino, Hajauliza kama zinaenda na wakati au zinakulaje mafuta. Any way Bizzly kwasasa kuzipata kwenye show room itakuwa ngumu kidogo kama unataka ya kununua na upo tayari kununua inayotumika na mtu ni-Pm tuongee
F Faymario Member Joined Aug 11, 2011 Posts 23 Reaction score 1 Oct 6, 2011 #4 Kama unaweza kununua iliyotumika ipo kwenye hali nzuri manual milioni 11 kama utahitaji piga namba 0757358296
Kama unaweza kununua iliyotumika ipo kwenye hali nzuri manual milioni 11 kama utahitaji piga namba 0757358296
Ibrah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2007 Posts 2,730 Reaction score 536 Oct 6, 2011 #5 Mimi ninayo ya 93, Manual gear, engine 1.6. km 146.000, haijawahi kuguswa engine. Nimeingiza kutoka Japan Nov. 2008. Kama unahitaji ni pm
Mimi ninayo ya 93, Manual gear, engine 1.6. km 146.000, haijawahi kuguswa engine. Nimeingiza kutoka Japan Nov. 2008. Kama unahitaji ni pm
Mallaba JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 2,554 Reaction score 48 Oct 23, 2011 #6 Ibrah naomba uni pm kwa hiyo bei ya gari yako please.