Suzuki escudo nomade -1994 inauzwa haraka

Suzuki escudo nomade -1994 inauzwa haraka

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
Wana JF Heshima Mbele MODS kunatangazo langu la Gari Suzuki Escudo Nomade 1994 nililitumaga kitambo naomba uunganishe na hii meseji sasa Naiuza bei maelewano 9M bei inaanzia hapo, Mwenye kuhitaji aje haraka kwani gari nimeshanunua ghari ingine, Nilinunua kutoka Japan na mimi ndo mtu wa kwanza kulitumia hapa Tanzania wewe utakuwa wapili.

USIHOJI PICHA NIMESHAMUOMBA mods ATAWAWEKEA MAANA NILISHATUMAGA TANGAZO HILI KITAMBO NAFIKIRI MWAKA JANA ILA SIKUMBUKI MWEZI
 
Wakuu hapo nauza Gari. Na kumbuka sikuuziii bora gari ili uwe rafiki zako mafundi nakupa warrant 5years na tunaingia mikataba likiharibika nakurudishia pesa na faida juuu.
 
Wakuu hapo nauza Gari. Na kumbuka sikuuziii bora gari ili uwe rafiki zako mafundi nakupa warrant 5years na tunaingia mikataba likiharibika nakurudishia pesa na faida juuu.

Hiyo kweli ni ofa kabambe, maana sidhani kama hata hao watengeneza magari wanatoa warranty ya miaka mitano!
 
Mpo Siriasi au JOKES nyingi humu? maana sasa jokes naona kibaoooo Mods Ondoa JOkes humu kwenye matangazo
 
Yani escudo ya mwaka '94 uiuze 9mil? au hizo gari ziko 2 na jumla ya bei ndo hiyo?
Kama ni moja basi we ndo uache jokes, sema serious price yako tukutafute
 
Wakuu hapo nauza Gari. Na kumbuka sikuuziii bora gari ili uwe rafiki zako mafundi nakupa warrant 5years na tunaingia mikataba likiharibika nakurudishia pesa na faida juuu.

Umesahau kumalizia; VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
 
sasa mkubwa umeingia mitini nimekupm hujajibu vipi tena? au umeghairi hauuzi tena? sama sasa bei yangu nlikupa mle!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom