Babu ushazeeka bana achana na magariHebu weka japo kapicha tuone japo siti kava jamani lol
Nataka nami niburuze mchuma, nimechoka kutembelea baskeliBabu ushazeeka bana achana na magari
cc mchepuko wako wa kudumu
Komaa na baiki babu hiyo ni gimu tosha kabisa ambayo haihitaji treinaa..Nataka nami niburuze mchuma, nimechoka kutembelea baskeli