Suzuki Escudo Goldwin inauzwa

Suzuki Escudo Goldwin inauzwa

frnk

Senior Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
160
Reaction score
12
Habarin wana Jf, nauza gari tajwa hapo juu
Hiz ni bbaadhi details zake

Suzuk Escudo golwdin

Year of manufacture: 1995,

Engine type: td,V6
Engine capacity:1950cc
Five doors
Colour: blue metallic
Transmission:automatic
Sony cd player with dvd input, ,power windows,
Reg no: T....A..!"
Bei 5.5mil.maelewano yapo

Nimeitumia vizur na bado ipo katika hali nzuri,napendekeza mnunuzi akija awe na fundi wake kwa ajil ya kukagua u imara wa gari.
Pia gari haijawah pata ajali,

Sababu ya kuuza: nina uhitaj wa pesa ili nikamilishe taratibu za kupata gari nyingine
Naomba radh kwa kushindwa attach picha hapa Jf,Ila kwa attaependa ziona mda wowote kwa watsapp 0759209031 nitamtumia.

Gari iko dar _ukonga.
 
v6,, kuuza gr kz ngumu km kumtafuta ccmiz kengesa!
 
v6,, kuuza gr kz ngumu km kumtafuta ccmiz kengesa!

Huo ni Mtazamo wako tu, Kwa kua na imani na mali ninayoitangaza bado ina ubora,bas na uhakika nitaiuza tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom