Chakulagani
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 271
- 51
Pole na kazi za jioni ndugu zangu,nina shida na escudo suzuki ya mwaka 1999/1998/2000 cc 1990/Automatic, tagadhaki mwenyeww nayo asisite kunipatia hasa namba B,nina Mil.8.5,iwe kwenye hali nzuri na haijawahi pata ajali au kupigwa rangi.Mbarikiwe.