Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Umezidisha sana : kodi zote hadi number ni milioni 2.85. kwa hizi gari kama cif haizidi $2000/=
Usifuatishe bei zao walizoweka kwenye ile chart. Ukishalipa hiyo unayosema, utapigwa na butwaa kuambiwa kuwa unatakiw ulipe na additional. We speak out of experience mkuu!