Suzuki carry inauzwa

Suzuki carry inauzwa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
manual, 5 gear, iko na 4 wheel drive bei 6.8 mln,namba C, haina tatizo lolote....
 
Attachments

  • IMG-20140814-WA0016.jpg
    IMG-20140814-WA0016.jpg
    43.5 KB · Views: 712
serious buyers wani pm....
 
Tatizo ni ushUru tu,hizi gari ukiingia www,tradecarview.com ni mpaka USD 350.
 
Kwa hiyo unatusaidiajee? Maana unatuambia dola 350 ni cheap sana, wakati huohuo unalalamika ushuru, tusinununue hii? Kumbuka hiyo 350 dolla ni FOB bado hujaweka freight, insurance na inspection, plus car view charges! Unadhan hadi inafika bongo na kulipia ada zote itafika kiasi gan?
 
kwa hiyo unatusaidiajee? Maana unatuambia dola 350 ni cheap sana, wakati huohuo unalalamika ushuru, tusinununue hii? Kumbuka hiyo 350 dolla ni fob bado hujaweka freight, insurance na inspection, plus car view charges! Unadhan hadi inafika bongo na kulipia ada zote itafika kiasi gan?
sina maana hiyo
 
karibuni jamani.....ulichosema ni kweli kabisa . Saju b
 
Last edited by a moderator:
serious buyers wani pm....

Nahati mbaya mie sio Serious Buyyer ila nilitaka kujua baadhi ya vitu tu,kwahiyo siwezi ku Pm kulinagana na Masharti ya Ku Pm lazima uwe Serious Buyyer.

Halafu Wakuu hivi Mtu anaposema Serious Buyyer anakuwa na maana gani?
Maana ninavyoona mie kama akipata watu wawili tu lazima mmoja anunue
 
kwanza mkuu nashukuru kwa kuni sahihisha hapo, kweli kabisa anawwza pia akaja mtu ana mjua mtu anayetaka gari hilo akaonganisha kazi ikafanyika....kwa hiyo kama kuna mtakaji au kuna mtu anamjua mtu tiwasiliane tu
 
Kwa hiyo unatusaidiajee? Maana unatuambia dola 350 ni cheap sana, wakati huohuo unalalamika ushuru, tusinununue hii? Kumbuka hiyo 350 dolla ni FOB bado hujaweka freight, insurance na inspection, plus car view charges! Unadhan hadi inafika bongo na kulipia ada zote itafika kiasi gan?

Kwa hali ilivyo sasa hivi. Hata hiyo gari ukipewa bure na mjapani, lazima uandae milioni sita na nusu kuifikisha Bongo. Amini usiamini. We usivione hivi vidude viko bara barani ukazani ni bei ya maandazi...
 
kweli kabisa chief....hata huko japan ukinunua gari $100 itume tanzania uone balaa yake
 
Kwa hali ilivyo sasa hivi. Hata hiyo gari ukipewa bure na mjapani, lazima uandae milioni sita na nusu kuifikisha Bongo. Amini usiamini. We usivione hivi vidude viko bara barani ukazani ni bei ya maandazi...

Si kweli mkuu watu wasingefanya biashara ya magari kama ingekuwa haina faida. Wanafaidika kwa kiasi kikubwa ndio maana uingizaji wa magari umekuwa mkubwa.
 
Kodi sasa ni 3.2. Other clearing cost kama 0.8M. Hadi hapo ishafika M4. Ok.weka usafiri, inspection, insurance dolla 1000 ambayo ni sawa na 1.6 M. Bado gharama nyingine hadi hapo ishafika M5.6. Hapo nimechukulia hii gari umepewa BURE na Mjapani....
 
Nahati mbaya mie sio Serious Buyyer ila nilitaka kujua baadhi ya vitu tu,kwahiyo siwezi ku Pm kulinagana na Masharti ya Ku Pm lazima uwe Serious Buyyer.

Halafu Wakuu hivi Mtu anaposema Serious Buyyer anakuwa na maana gani?
Maana ninavyoona mie kama akipata watu wawili tu lazima mmoja anunue

Acha wawili hata akiwapata 20 wa aina yako ya kutaka tu kujua baadhi ya vitu(specifications) hawamsaidii. Serious/genuine buyers ni wale wenye mahitaji ya kinachouzwa.
 
Kodi sasa ni 3.2. Other clearing cost kama 0.8M. Hadi hapo ishafika M4. Ok.weka usafiri, inspection, insurance dolla 1000 ambayo ni sawa na 1.6 M. Bado gharama nyingine hadi hapo ishafika M5.6. Hapo nimechukulia hii gari umepewa BURE na Mjapani....

Du! Nimeipnda hili jibu
 
Umezidisha sana : kodi zote hadi number ni milioni 2.85. kwa hizi gari kama cif haizidi $2000/=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom