Ama!! hivi vigari mimi nilikuwa najuwa vinazuzwa milioni tatu au 4 kumbe bei yake ni hiyo? GX 100 Oyeee!!
Vimepanda bei tz.... japan bado bei ni ile ileAma!! hivi vigari mimi nilikuwa najuwa vinazuzwa milioni tatu au 4 kumbe bei yake ni hiyo? GX 100 Oyeee!!
Bajaj zilikuwa maalum kwa ajili ya viwete lakini ndio hivyo tena, na hata bajaj ikiwekwa matairi manne haina tofauti na hiyo Suzuki carry. anyway ngoja niwapishe wateja wenye huitaji.Usisahau pia kuulizia Bei ya Bajaj ya miguu mitatu..............
Niliwahi kuwashauri Multi choice Tanzania wakanipuuza, kwamba mwaka 1998 nikiwa South Africa nilikuwa nalipia Rand 100 kama subscription ya Mnet kwa mwezi by that time Mnet na DSTV zilikuwa ni kampuni mbili tofauti.Vimepanda bei tz.... japan bado bei ni ile ile
Vimepanda bei tz.... japan bado bei ni ile ile
Bajaj zilikuwa maalum kwa ajili ya viwete lakini ndio hivyo tena, na hata bajaj ikiwekwa matairi manne haina tofauti na hiyo Suzuki carry. anyway ngoja niwapishe wateja wenye huitaji.
Niliwahi kuwashauri Multi choice Tanzania wakanipuuza, kwamba mwaka 1998 nikiwa South Africa nilikuwa nalipia Rand 100 kama subscription ya Mnet kwa mwezi by that time Mnet na DSTV zilikuwa ni kampuni mbili tofauti.
Point yangu ilikuwa kwamba Watanzania ni wachovu lakini wanahitaji mambo mazuri, ushauri wangu ulilenga washushe bei ili wapate wateja Tanzania nzina ikiwekana kila mwenye TV anunuwe decoder ya DSTV, Sasa imagine kama wangekuwa wasikivu mapema wangekuja kupigwa bao na hawa Star Times ambao ndio wameteka soko la wateja wote makabwela? This same thing na kwenye biashara ya magari tamaa zimezidi wanataka faida kupita kiasi, but/lakini tuendako huko wachina watafunguwa Plant za magari hapa hapa, msije mkahama nchi.
Imesajiliwa No yake CGJ .. haijafanya kazi nchini kabisa.. na mwenye kuhitaji nitajibu kwa PM TU

Kwakweli sina ufahamu wa swala hili kama kuna roaming ya decoder, hili swali labda uwaulize vijana kule kwenye jukwaa lao la Teknolojia.DSTV hata kenya ni cheap
mimi nauliza swali moja tu
haiwezekani ukanunua decoder Kenya au South ukailipia mwaka mzima
ukaja kuitumia TZ?
nirushie japo picha nataka gari nipo mwenge dar..iko wapi hiyo machine
Kwani gx100 bei gan mkuu? carry ni gari nzuri mkuu kwa shughuli zinazoihusu! dar gharama, ukiagiza mwenyewe ni arround 5M!
Imesajiliwa No yake CGJ .. haijafanya kazi nchini kabisa.. na mwenye kuhitaji nitajibu kwa PM TU
ninacho nauza 8.5 sipunguzi hata mia hicho chsko kitakuwa kibovu . naapa au hakina 4wd