Suzuki carier inauzwa Tsh Mil 7 na nusu Ipo katika hali nzuri kabisa kama inavyoonekana katika Picha na inatembea ni shida ndizo zinazonifanya niiuze wasiliana nami kwa simu no 0754577778 nipo Pemba..
Mkuu kwa hiyo bei ya 7.5 utasubiri sana mteja, showrum unapata mpaka 6.5- wewe ushakitembelea sana mpk taa za pembeni umevunja alaf bado unataka ml7.5 usipoangalia utapiganayo picha hyo
Mkuu kwa hiyo bei ya 7.5 utasubiri sana mteja, showrum unapata mpaka 6.5- wewe ushakitembelea sana mpk taa za pembeni umevunja alaf bado unataka ml7.5 usipoangalia utapiganayo picha hyo
teh teh teh teh,mkuu bwana,ila huo ndio ukweli,manake mi jins nilivyoliona tangazo nilidhani labda bei yake itakuwa kama 5m hv lakini naona kaanzia mbali sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.