Lamborgini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 935
- 1,584
Mvimba macho si muda mrefu ana mu overtake kiranja wa duniaHii hapa orodha ya SUV 3 za kifahari kutoka China,nmechagua chache zilizonivutia zaidi mchina anakuja vizuri sana kwenye tech gari zipo kisasa sn aisee pia zinavutia sana ndani na zinafeatures nyingi, kuna Aito M9, Li Auto L9, na Denza N9 zikiwa na bei kwa TZS.
🚙 1. Aito M9
🇨🇳 Brand: AITO (Huawei + Seres)
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EREV) au Full Electric
💰 Bei ya makadirio: TZS 172M – 198M
🎨 Rangi zinazopatikana:
Deep Black
Elegant White
Champagne Gold
Sky Grey
Midnight Blue
Sifa kuu:
Full-size 6-seater SUV
Huawei HarmonyOS cockpit
25-speaker sound system
Heads-up Display (HUD) ya AR
Upakiaji wa haraka hadi 240 kW
Mileage: hadi 630 km (EV) au 1,400 km (EREV)
View attachment 3396353
View attachment 3396354
Ina interior ya bomba sn
🚗 2. Li Auto L9
🇨🇳 Brand: Li Auto
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EV + Petrol Generator)
💰 Bei ya makadirio: TZS 165M – 185M
🎨 Rangi zinazopatikana:
Space Grey
Deep Green
Ice White
Titanium Silver
Dark Purple
Sifa kuu:
6-seater premium SUV
3 large screens + HUD
Smart cockpit na 3D face recognition
Air suspension + 4D comfort
Mileage: hadi 1,315 km
Kamera 12 + sensors kwa autonomous drive
View attachment 3396357
Kwa wapenda starehe ipo comfort sn
View attachment 3396363
View attachment 3396364
Kwa nje ipo clean sn nmependa sn light bar zake,kwa design wametisha sana aisee.
Nmewahi kuiona moja dsm, zishafika dubai kwa sasa so unaweza kuileta bongo tatizo hawana right hand drive.
🚘 3. Denza N9
🇨🇳 Brand: Denza (BYD + Mercedes-Benz partnership)
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (PHEV)
💰 Bei ya makadirio: TZS 118M – 158M
🎨 Rangi zinazopatikana:
Glacier White
Onyx Black
Sapphire Blue
Platinum Grey
Burgundy Red
Sifa kuu:
6-seater high-performance SUV
3 electric motors + 2.0L petrol (AWD)
0–100 km/h in ~3.7 sec
Premium leather interior
Panoramic roof + ambient lighting
Mileage hadi 1,300 km
View attachment 3396368
View attachment 3396369
View attachment 3396370
Katika zote hii ndo yenye nguvu zaidi byd hawana masihara, pia naona hii imekaa kiheshima zaidi, hii kitu ni luxury zaid ya lc300.
Inaanza kuuzwa mwaka huu, na uwezekakano wa kuja bongo ni rahisi iwapo wataanza kuuza australia na afrika kusini(sauz usukani kulia kama bongo) ambako wanamatawi tayari.
N9 is my favourite,
Nambie we umeikubali sana ipi.
Cc: Lambo
Usijali mkuu kikubwa bongo amn njaaKila heri mdau .
Sisi wengine tayar World Bank ndo wametupromote kwenye ufakara WA kiwango cha juu kabisa wanasema bila 3 USD Kwa siku basi Sisi ndo hivyo.
Kabisa kama wameweza kwenye mabasi na malori sembuse chuma kali kam izoMvimba macho si muda mrefu ana mu overtake kiranja wa dunia
Achana na hizi, nifanyie makadilio ya byd seagull nione kama naweza jilipuaHii hapa orodha ya SUV 3 za kifahari kutoka China,nmechagua chache zilizonivutia zaidi mchina anakuja vizuri sana kwenye tech gari zipo kisasa sn aisee pia zinavutia sana ndani na zinafeatures nyingi, kuna Aito M9, Li Auto L9, na Denza N9 zikiwa na bei kwa TZS.
🚙 1. Aito M9
🇨🇳 Brand: AITO (Huawei + Seres)
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EREV) au Full Electric
💰 Bei ya makadirio: TZS 172M – 198M
🎨 Rangi zinazopatikana:
Deep Black
Elegant White
Champagne Gold
Sky Grey
Midnight Blue
Sifa kuu:
Full-size 6-seater SUV
Huawei HarmonyOS cockpit
25-speaker sound system
Heads-up Display (HUD) ya AR
Upakiaji wa haraka hadi 240 kW
Mileage: hadi 630 km (EV) au 1,400 km (EREV)
View attachment 3396353
View attachment 3396354
Ina interior ya bomba sn
🚗 2. Li Auto L9
🇨🇳 Brand: Li Auto
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EV + Petrol Generator)
💰 Bei ya makadirio: TZS 165M – 185M
🎨 Rangi zinazopatikana:
Space Grey
Deep Green
Ice White
Titanium Silver
Dark Purple
Sifa kuu:
6-seater premium SUV
3 large screens + HUD
Smart cockpit na 3D face recognition
Air suspension + 4D comfort
Mileage: hadi 1,315 km
Kamera 12 + sensors kwa autonomous drive
View attachment 3396357
Kwa wapenda starehe ipo comfort sn
View attachment 3396363
View attachment 3396364
Kwa nje ipo clean sn nmependa sn light bar zake,kwa design wametisha sana aisee.
Nmewahi kuiona moja dsm, zishafika dubai kwa sasa so unaweza kuileta bongo tatizo hawana right hand drive.
🚘 3. Denza N9
🇨🇳 Brand: Denza (BYD + Mercedes-Benz partnership)
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (PHEV)
💰 Bei ya makadirio: TZS 118M – 158M
🎨 Rangi zinazopatikana:
Glacier White
Onyx Black
Sapphire Blue
Platinum Grey
Burgundy Red
Sifa kuu:
6-seater high-performance SUV
3 electric motors + 2.0L petrol (AWD)
0–100 km/h in ~3.7 sec
Premium leather interior
Panoramic roof + ambient lighting
Mileage hadi 1,300 km
View attachment 3396368
View attachment 3396369
View attachment 3396370
Katika zote hii ndo yenye nguvu zaidi byd hawana masihara, pia naona hii imekaa kiheshima zaidi, hii kitu ni luxury zaid ya lc300.
Inaanza kuuzwa mwaka huu, na uwezekakano wa kuja bongo ni rahisi iwapo wataanza kuuza australia na afrika kusini(sauz usukani kulia kama bongo) ambako wanamatawi tayari.
N9 is my favourite,
Nambie we umeikubali sana ipi.
Cc: Lambo
Li Auto REEV kadhas zilikuepo Bongo.
Mtoa mada huwezi sasa hivi kuelezea Chinese suv bila kuitaja Byd Yangwang U8, wachina wenyewe wanaitumia kama brand ya nchi kwa sasa hata bei yake ni mkasi, bei ya kununua tu ni zaidi 150,000usdHii hapa orodha ya SUV 3 za kifahari kutoka China,nmechagua chache zilizonivutia zaidi mchina anakuja vizuri sana kwenye tech gari zipo kisasa sn aisee pia zinavutia sana ndani na zinafeatures nyingi, kuna Aito M9, Li Auto L9, na Denza N9 zikiwa na bei kwa TZS.
🚙 1. Aito M9
🇨🇳 Brand: AITO (Huawei + Seres)
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EREV) au Full Electric
💰 Bei ya makadirio: TZS 172M – 198M
🎨 Rangi zinazopatikana:
Deep Black
Elegant White
Champagne Gold
Sky Grey
Midnight Blue
Sifa kuu:
Full-size 6-seater SUV
Huawei HarmonyOS cockpit
25-speaker sound system
Heads-up Display (HUD) ya AR
Upakiaji wa haraka hadi 240 kW
Mileage: hadi 630 km (EV) au 1,400 km (EREV)
View attachment 3396353
View attachment 3396354
Ina interior ya bomba sn
🚗 2. Li Auto L9
🇨🇳 Brand: Li Auto
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (EV + Petrol Generator)
💰 Bei ya makadirio: TZS 165M – 185M
🎨 Rangi zinazopatikana:
Space Grey
Deep Green
Ice White
Titanium Silver
Dark Purple
Sifa kuu:
6-seater premium SUV
3 large screens + HUD
Smart cockpit na 3D face recognition
Air suspension + 4D comfort
Mileage: hadi 1,315 km
Kamera 12 + sensors kwa autonomous drive
View attachment 3396357
Kwa wapenda starehe ipo comfort sn
View attachment 3396363
View attachment 3396364
Kwa nje ipo clean sn nmependa sn light bar zake,kwa design wametisha sana aisee.
Nmewahi kuiona moja dsm, zishafika dubai kwa sasa so unaweza kuileta bongo tatizo hawana right hand drive.
🚘 3. Denza N9
🇨🇳 Brand: Denza (BYD + Mercedes-Benz partnership)
🔋 Aina: Plug-in Hybrid (PHEV)
💰 Bei ya makadirio: TZS 118M – 158M
🎨 Rangi zinazopatikana:
Glacier White
Onyx Black
Sapphire Blue
Platinum Grey
Burgundy Red
Sifa kuu:
6-seater high-performance SUV
3 electric motors + 2.0L petrol (AWD)
0–100 km/h in ~3.7 sec
Premium leather interior
Panoramic roof + ambient lighting
Mileage hadi 1,300 km
View attachment 3396368
View attachment 3396369
View attachment 3396370
Katika zote hii ndo yenye nguvu zaidi byd hawana masihara, pia naona hii imekaa kiheshima zaidi, hii kitu ni luxury zaid ya lc300.
Inaanza kuuzwa mwaka huu, na uwezekakano wa kuja bongo ni rahisi iwapo wataanza kuuza australia na afrika kusini(sauz usukani kulia kama bongo) ambako wanamatawi tayari.
N9 is my favourite,
Nambie we umeikubali sana ipi.
Cc: Lambo
Nmewahi ona iyo kwanz kwenye post
Nlisema nmechagua chache zilizonivutia, naijua hiyo na ushuru apo 200k plus si affordable.Mtoa mada huwezi sasa hivi kuelezea Chinese suv bila kuitaja Byd Yangwang U8, wachina wenyewe wanaitumia kama brand ya nchi kwa sasa hata bei yake ni mkasi, bei ya kununua tu ni zaidi 150,000usd
Pick up za mchina nmeona kibao bongo kama haval,GMW na foton wanatumia sn polisi skuiz,china wanakwenda kuangusha utawala wa toyota,kama toyota alivomuangusha Land rover na defender.Mchina ni konyo sana aiseee, alianza na pikipiki akaja kwenye malori na mabasi, sasa anakuja kwa kasi kwenye gari ndogo.
Unanua chuma mpya Okm kwa bei ya kizalendo.
Hizi hapa ni SUV za Howo, yaani mpaka 2035 soko lote la Afrika litakua ni lao. View attachment 3397259View attachment 3397260View attachment 3397261View attachment 3397262View attachment 3397263View attachment 3397264
Byd ana mashine affordable naona hakuna bongo alie kwisha leta any bydNlisema nmechagua chache zilizonivutia, naijua hiyo na ushuru apo 200k plus si affordable.