Suti ya kodrai nyeusi kwa anayehitaji

Suti ya kodrai nyeusi kwa anayehitaji

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,096
Reaction score
22,824
Suti ya kodrai nyeusi, mpya na haijavaliwa zaidi ya kujaribishwa inataka mnunuzi kwa bei ya chini (pungufu) ya dukani (original price).....

Kama upo interested weka offer yako njoo tuyajenge......
IMG_20180606_113033.jpg
IMG_20180606_113030.jpg
IMG_20180606_112807.jpg
IMG_20180606_112803.jpg
IMG_20180606_112733.jpg
IMG_20180606_112641.jpg
 
Yani badala ya wewe kutaja bei yko unataka watu ndio wakutajie au waashumu unauza bei gani?? Are you serious
Mkuu, mbona nimeweka wazi kuwa bei ya dukani niliyochukulia ni 120,000(laki na ishirini)

Sasa nimeileta katika soko huria ambapo sasa wewe kama mteja utanifanyia ustaarabu kwa kutaja bei muafaka kutoka hiyo bei halisi ya dukani.

Kwa maneno mengine nimekurahisishia badala ya kwenda kununua suti mpya ukapigwa 120,000 na pengine zaidi ya hapo......nimekupa fursa ya kubargain na bei ya chini kidogo kutoka hapo laki na ishirini, sawa mkuu?!

Sasa wewe jiongeze halafu unambie bei ya kistaarabu nikuachie suti hiyo then maisha yaendelee
 
Waswahili bwana!!!! sawa hiyo ni bei ya dukani, sema wewe unauza bei gani? Au ndio ile unataka muanze kuzungushana!! Akikwambia anaweza kukupa elfu mbili!!!
 
Waswahili bwana!!!! sawa hiyo ni bei ya dukani, sema wewe unauza bei gani? Au ndio ile unataka muanze kuzungushana!! Akikwambia anaweza kukupa elfu mbili!!!
Ntamwambia haifai aongeze
 
Waswahili hili swala linatucost sana ivi kweli unashindwa kutaja bei huko insta matangazo kibao mtu anakuambia sijui njoo dm sijui Pm mimi nkiona ivi hata bidhaa kama nimeipenda sihangaiki nayo
 
Waswahili hili swala linatucost sana ivi kweli unashindwa kutaja bei huko insta matangazo kibao mtu anakuambia sijui njoo dm sijui Pm mimi nkiona ivi hata bidhaa kama nimeipenda sihangaiki nayo
Hivi mfano unakwenda dukani, then unaambiwa hiki kitu thamani yake ni 3000 ila taja bei ambayo upo tayari kulipa chini ya 3000, bado unambwela shida inakuwa wapi kusema kiasi ambacho upo willing kulipia chini ya bei halisi?!

Just jiamini mkuu....taja bei ambayo ni reasonable nikiachie suti hii, hapa nauza kwa maana ya kuwa mimi sitaitumia
 
mkuu punguza iwe size 32 niichukue
Yeah inawezekana kupunguza......!

Njoo inbox na dau lako then tuyajenge nitakuelekeza kwa fundi mzuri atakurekebishia utaipenda.....haitazidi buku tano (5000) kuirepea.....
 
mkuu punguza iwe size 32 niichukue
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu akishaipunguza size unaahirisha kununua[emoji12] [emoji23] [emoji23]
Nacheka peke yangu..tutanyooka tu usawa huu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom