Jamani kuna rafiki yangu anahitaji suti ya harusi taxsido,singo bata,ana laki na 80 atapata wapi kwa maeneo ya dar!
Kama inapatikana na yenye quality nzuri weka namba ya simu tafadhali,sitaki PM
nenda kariakoo utapata hata laki na nusu ila ya kichina hakuna atakayejua kuwa ni ya kichina siku ya harusi ,mpaka ikifuliwa mara tatu nne ndio utajua fake