Suti na suruali za kung'aa

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Kuna huu mtindo wa sikuhizi unakuta mtu amevaa suti au suruali vinang'aa sana na kuna mashati nayo huwa hivyo. wadau mnaionaje hii staili.

Ninampango wa kushona suti ya hivyo nahitaji kujua maoni yenu.
 
shona tu papaa mukulu...
 
mkuu angalia usifanane na aluminium tuu km uyu mwenzio haha
 
Attachments

  • 1423431432905.jpg
    84 KB · Views: 702
Ni ushamba unless wewe ni msaniiwa music au ni gay hapo sawa
 
We ng'aa zako.......bling kwa raha zako.......
 
Kuna huu mtindo wa sikuhizi unakuta mtu amevaa suti au suruali vinang'aa sana na kuna mashati nayo huwa hivyo. wadau mnaionaje hii staili.

Ninampango wa kushona suti ya hivyo nahitaji kujua maoni yenu.

Tahadhari usifatwe na nyuki.
 
Kuna huu mtindo wa sikuhizi unakuta mtu amevaa suti au suruali vinang'aa sana na kuna mashati nayo huwa hivyo. wadau mnaionaje hii staili.

Ninampango wa kushona suti ya hivyo nahitaji kujua maoni yenu.

Hizo style zipo sana mbeya utaziona Jumapili mchana kabwe,mwanjelwa vijana wametinga,binafsi sipendi kabisa hizo nguo halafu shati lina kola ndeefu,suruali bwanga utafikiri wacheza yekeyeke miaka ya 70 usiombe cheche za moto zirukie zinakuyeyukia!
 
hahaha. na kuna wainjilisti wengi sana huku. wwanavaa makoti makubwa mpaka magotini. rangi zao nyekundu au dhambarau. viatu vya plastic vimechongokaa!
 
Kuna huu mtindo wa sikuhizi unakuta mtu amevaa suti au suruali vinang'aa sana na kuna mashati nayo huwa hivyo. wadau mnaionaje hii staili.

Ninampango wa kushona suti ya hivyo nahitaji kujua maoni yenu.

Poa tu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…