D donielplegend Member Joined Jul 24, 2017 Posts 9 Reaction score 4 Jul 27, 2017 #1 Serikali na wizara ya ardhi itukumbuke sisi tuliomaliza katika vyuo vyao katika ngazi ya certificate na diploma hususani survey technician,wametusahau miaka mitatu lukuvi mh. Tuangalie tangazeni ajira zetu mtaaani pagumu Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali na wizara ya ardhi itukumbuke sisi tuliomaliza katika vyuo vyao katika ngazi ya certificate na diploma hususani survey technician,wametusahau miaka mitatu lukuvi mh. Tuangalie tangazeni ajira zetu mtaaani pagumu Sent using Jamii Forums mobile app
ruby garnet JF-Expert Member Joined Apr 10, 2017 Posts 2,922 Reaction score 3,912 Jul 27, 2017 #2 saw amesikia lukuvi
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,860 Jul 28, 2017 #3 Ameskia mkuu ila sema wako bussy sahv n kuvuta subira
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,863 Reaction score 6,604 Jul 28, 2017 #4 Si huwa wanasema surveyors ni hot cake mtaani?
Senior Boss JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 3,405 Reaction score 3,702 Jul 28, 2017 #5 Ze Heby said: Si huwa wanasema surveyors ni hot cake mtaani? Click to expand... Hehehe watu si wana desturi ya kuishi kwa story za vijiwe vya kahawa mtaani. OK Keep calm ajiras are coming. [emoji38][emoji16] Sent from Letchworth Garden City, Hertfordshire. UK
Ze Heby said: Si huwa wanasema surveyors ni hot cake mtaani? Click to expand... Hehehe watu si wana desturi ya kuishi kwa story za vijiwe vya kahawa mtaani. OK Keep calm ajiras are coming. [emoji38][emoji16] Sent from Letchworth Garden City, Hertfordshire. UK