Survey: Damage Assesment-Tuhesabu Madhara

Survey: Damage Assesment-Tuhesabu Madhara

kukukakara

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
496
Reaction score
164
Baada ya hotuba ya Dr. Slaa Wewe upo kundi gani:
1. Umebaki na msimamo wako wa mabadiliko?
2. Umeghairi na kuhamia kule kwingine
3. Ulikuwa kule kwingine umeamua kubadili fikra na kuwaunga mkono UKAWA
4. Umeachana na ushabiki wa siasa na hata kura hutapiga.

Jibu kwa kifupi kama hhivi:
Namba 1: MSIMAMO ULEULE
Namba 2: NIMEHAMA
Namba 3: NIMEJIUNGA
Namba 4: NIMEGHAIRI

Karibuni. Napendekeza survey iwe ya siku 10
 
Hakuna haja ya survey hali itaonekana mtaani na kwenye mikutano
 
Watu mna hasira!! Basi dodoso hili lingeongeza swali la tano
Namba 5: waliokasirishwa: HASIRA
 
Kwa niaba ya mamilioni ya waTanzania nime LIKE comment ya successor hapo juu. MSIMAMO ULEULE-UKAWA USHINDI
 
Last edited by a moderator:
Msimamo ule ule hata akiondoka Kamanda wa Anga kura yangu kwa UKAWA.
 
Hii ndo chadema.Huu ndo Ukawa.Huyu ndo Lowasa.Mtaigiza sana wa kutazama maigizo yenu hayupo kwa muda huu.Mtashindana hamtashinda.Lowasa mbele kwa mbele.
 
Baada ya hotuba ya Dr. Slaa Wewe upo kundi gani:
1. Umebaki na msimamo wako wa mabadiliko?
2. Umeghairi na kuhamia kule kwingine
3. Ulikuwa kule kwingine umeamua kubadili fikra na kuwaunga mkono UKAWA
4. Umeachana na ushabiki wa siasa na hata kura hutapiga.

Jibu kwa kifupi kama hhivi:
Namba 1: MSIMAMO ULEULE
Namba 2: NIMEHAMA
Namba 3: NIMEJIUNGA
Namba 4: NIMEGHAIRI

Karibuni. Napendekeza survey iwe ya siku 10

Ungeongeza na #6 , MSIMAMO UMEONGEZEKA ZAIDI.
 
ari zaidi, kasi zaidi, nguvu zaidi, LOWASHA TU! ccm wanawashwa na huyu mtu ni balaa!
 
Mimi mwenyewe,familia yangu,ukoo wangu,ndugu na marafiki zangu MSIMAMO NI ULEULE
 
Nimejifunza kuwa siasa ya Tanzania sio ya kuiza sera bali ya kuchafuana kwa maslahi Binafsi na kununuliwa. Hakuna mwanasiasa asiyekuwa na doa. Hata hivyo kura yangu bado ipo kwa #UKAWA
 
Back
Top Bottom