Heri ya Pasaka,
Kuna Kazi zimetangazwa na IPA, nataka kuomba, ila wanataka candidate mwenye deep experience ya SurveyCTO.
Hii Survey CTO ni Nini, inadeal na nini?
Kama huna experience nayo unaweza jilipua na kuomba iyo kazi.
N.b nime-google ila sijaielewa ata.
Karibu