surprise

xuxumeyu

Member
Joined
Mar 15, 2015
Posts
59
Reaction score
7
Uko na girlfriend wako ndani ya daladala mesimama ghafla anakwambia bby nikufanyie surprise unamjibu ndio anakusogelea karibu anafungua zipu anaingiza mkono anaitoa nje mbele za watu una bakitu kutoa macho huna chakufanya halafu ana kuuliza nikupe hapa hapa au tukifika nyumban? ?! Unamjibu nipe hapa hapa anaamua kukupa iphone 6+ aliyo ku nunulia anaiweka kwenye begi lako na wewe unaamua kuitoa unaeeka line yako unaanza kuitumia

Hapo vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…