Surprise kwa wanaume!!!

it's a creative surprise but don't forget to put in place contingency plans in case the unexpected happens (swali la kizushi: hivi kikaragosi chekundu kikizuka ghafla, bado kutakuwa na haja ya kulala hotel ya bei mbaya teh teh teh)
 
Supprise pekee amabayo mumeo hatoisahau na itafanya akupende milele na milele ni T.I.GO.Hakika utaukumbuka ushauri wangu.jaribu hatowaza kukuacha.nakutakia supprise njema!
dada kasema yuko serious mbona wewe unaleta utani? si vzr
 
yeah nafanya vyote hivyo vilivyo ndani ya uwezo wangu kifedha hatakuwa na wasi hata chembe hapo kwenye jezi nimepapenda pia naongezea kwenye list. thanx
we mkali sana umenipatia na mimi maujanja huyo mwanaaume akikuacha atakua amerogwa..
 

Je mna watoto? Hata mi wife alinifanyia hiyo kitu ila sikufurahi sana mpaka pale alipoletwa binti yangu wa miaka mitatu tukasherehekea nae. Iweje wewe ukashangilie birthday ya mumeo watoto wenu wapendwa muwaache Nyumbani? Kama hamna watoto basi imekaa poa.
 
hata sie tunawafanyia watoto wetu sana ila nimeona nasi tule maisha kidogo kukumbushia enzi na kuziba nyufa za mapenzi

Safi sana kwani mambo yote tunayofanya hapa duaniani lengo kuu ni kutafuta happiness na ndio maana mtu anajenga nyumba ya vigae wakati kuna mabati ya kawaida. vizuri kama na nyie mmeamua mle maisha maana hizi ela zinatakiwa zitutumikie sie na sio sie kuzitumikia
 
Kama ela itatosha mpitishe kwenye body massage ya ukweli hii itasaidia asije kataa kukupa kitu roho inataka kwa kusingizia uchovu wa kazi. Lol. Afu na hiyo hotel weka reservation usivamie tu ili wakupambie chumba kwa roses. Kusema honey moon vile. Hope you will all enjoy. Ikiwezekana tupe feedback jamaa alishangaaje.
 
2 my side,nitapokea kwa mikono na miguu yote miwili nitapofanyiwa chochote na mtu muhimu kiasi hiki.Namaanisha chochote,sina mipaka kwani mwenzako anapoamua kukufurahisha usiiharibu furaha yake.But nilichokua natarajia kutoka kwako ni kuwa unamjua mumeo kwa kuwa umeshamsoma,utakua unajua ni nini hasa hapendi na nini anafurahi.Maana unaweza ukampeleka maeneo ambayo yeye hapendi.Sisi wanaume tuna tofauti,ila wish u all the best!
 

Una mambo wewe . . . . . . . . !
 
Mpeleke baharini asubuhi pale umesikia adhani ya asubuhi akapige cha wima wima, na nyie mmezama kwenye bahari hio itakuwa ndo nzuri.


Hio sijui ya kwenda naye hotelini imeisha pitwa na wakati.


lol! jamani hapo naona ntaambiwa mchawi, alfajiri baharini cha wima! mmmhhhh! asante lakini ni ushauri wako nautia kapuni

Lakini pia sio mbaya hongera sana kwa kumpenda mme wako :yo:[/QUOTE]
huo ushauri balaaa! baharini alfajiri kimoja cha wimawima lol! kama si kushikana uchawi ni nn hapo mmmh asante ntauweka ushauri wako kapuni.
 
Hivi haya mambo yameshahalalishwa eeh!..naona mnayatamka kama mchezo vile!!

yaani watu skuhiz wameharibika vbaya na wanaoyaleta haya kwenye ndoa ni wanaume, na mwanamke akizoea balaa mistaki kabisa hii laana lol!
 
mmmh!...........n nzuri lkn mumeo anapenda aina hiyo ya mitoko mfano kama hapendi ishu za kulala hotelini asije akakushangaza maidia.

asante my dia yeye anapenda sana mitoko na huwa tunatoka wote out ila hii ya kulala ndo itakuwa first time
 

heheee mmmh! hapo kwenye bold hapo ntazimia na surprise kweli itaishia hapo, thanx for hotel suggestions i'll put them on my list.
 

asante kwa mawazo napata picha kama akifanya kama unavosema lol! i hope in +ve that he will take it and enjoy akinibadilikia mbona ntakuwa mdogo nahisi ndo utakuwa mwisho wa surprise lol! naisubiria hiyo siku, thanx man
 

asante sana nimepata kitu hapa i'm putting on my list thanx much
 
Kwangu mimi ni YES! YES! YES! Ila angalizo: wakati wa mahanjumati mweleze kuhusu nia yako ya kulala naye hoteli na umpe jukumu la kununua chumba. Pia kama hayupo hapa JF na hajui kuhusu discussion hii ni vema zaidi. Otherwise so far so good.

asante CORAL hapa nimenote kitu, that kumbrief about whats next while we r eating, yeah t ll b gud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…