Surgery ya pua inafanyika wapi kwa Tanzania?

Surgery ya pua inafanyika wapi kwa Tanzania?

Go at your own risk kama una DSTV 124 angalia Botched ya akina Dr. Dubrow wanavyowafanyia watu marekebisho baada ya kwenda surgery za uchochoroni.
Naona una hamu kurisk pua yako kwa Dr. Wa hapa Bongo Ili lengo lako la kuwa na CROOKED NOSE litimie. All the best
Kuna siku nilitazama hicho kipindi nakula kidogo nitapike. Kuna Mwanamke alikua na maziwa yameshikamana na kifua yakawa na umbo la mraba😛
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan
Humu watu hawako serious kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kidoti tu kumbe tena kinakufanya uwe na mwonekano mzuri
nilikuwa nashangaa mbona pua iko sawa?au unataka pua ndefu afu uwe na uso mfupi?
Kidoti Kwa mwanaume [emoji52][emoji52],, nmerithi Kwa mama sema kwake ndo kmekaa poa
 
Upasuaji muhimu watu wenye mapua makubwa tunapitia unyanyaji sanaa nakumbuka nilipokua open university biafra tukiwa kwenye folen wamama wawili watu wazina wakiwa mbele yangu walipoona form yangu tu wakaanza kusema huyu kaka ana pua kubwaaa huyoo kumbe mwamba niko nyuma yao wakaona aibu nikavunga kigentlemen kama sijasikia kuua soo na kuwasitiri maana walikua wanapitia mateso ya kisaikolojia walijua anytime ntawazaba makofi
 
Back
Top Bottom