Surgery ya pua inafanyika wapi kwa Tanzania?

Surgery ya pua inafanyika wapi kwa Tanzania?

There's nothing wrong with your nose,
But I just googled Rhinoplasty Dar es salaam
image2.jpg



img1~2.jpg
 
Hahahaa ila mbona iko vizuri, sijaona shida ya hyo pua yake
Yale yale ya tichaaa

Yan mtoa mada anaona kama me navyoonaga 😂😂

Mwambie atume picha ingine
Tuone
 
Kidoti ndo tatzo mkuu,,
Oh kumbe kidoti! Hivyo vinakatwa mkuu

Na pia nasikia kuna dawa/ mafuta yanauzwa maduka ya cosmetics. Ukipakaa with a time kinapotea
 
Oh kumbe kidoti! Hivyo vinakatwa mkuu

Na pia nasikia kuna dawa/ mafuta yanauzwa maduka ya cosmetics. Ukipakaa with a time kinapotea
Sawa ngoja niyatafute
 
Go at your own risk kama una DSTV 124 angalia Botched ya akina Dr. Dubrow wanavyowafanyia watu marekebisho baada ya kwenda surgery za uchochoroni.
Naona una hamu kurisk pua yako kwa Dr. Wa hapa Bongo Ili lengo lako la kuwa na CROOKED NOSE litimie. All the best
 
Back
Top Bottom