Sura za Wahujumu hela za Umma

Sura za Wahujumu hela za Umma

Nasikia kamanda mbowe naye alidaka 1.5 bn kama Prof. Tibaijuka, hebu muongeze hapo.

mnajisumbua tu hiyo single yenu haiuziki mnatafuta balance ili mpate wa kufa naye?
 
Wewe siyo mzima. Kwenye list zote, hakuna jina la Mbowe. Umekuwa mgonjwa kwa muda gani?

Escrow ni kokoro.

Kwa hiyo jina la Pinda umeliona? Acha matusi wewe, soma alama za nyakati utabaini. Umeiona list ya account ya PAP? Tulia kwanza kamanda mambo ni makubwa na mengi.
 
Makinda anataka kulazimisha wasijadiliwe kwa kicngizio kwamba Kuna mwizi aliekamatwa yupo gerezani
 
Nashukuru, sijaona majina ya waislam yanayozidi mawili.
Mungu mkubwa Jamani. Hao ndio wasomi wetu tunaojisifia...
 
Picha za hii mijizi zilitakiwa zichapishwe katika magazeti yote, na zibandikwe kwenye maneno yote ya wazi ili ifahamike, na wananchi wayazomee popote yatakapoonekana. Haya ni majizi ya siku nyingi, za arobaini zao zimetimia.

Kikwete anamaliza muda wake kwa aibu kubwa kwa kuwa mshirika wa wizi. Hastahili heshima katika jamii iliyokuwa imemwamini kuwa angelinda rasilimali za umma lakini akageuka kuwa mshirika wa wezi wa pesa za umma.
 
Usiyatazame majina kwa jicho la udini. Haya ni majizi na wala hayawakilishi sisi wakristo. Jitu halifu ni halifu tu, halina dini. Usitupeleke mahali ambapo tutapunguza nguvu zetu za pamoja dhidi yao. Wizi wao unawaathiri waislam, wakristo, wapagani na kila mtu. Lakini usisahau kuwa aliyeidhinisha pesa itoke kadiri ya utetezi wa benki kuu ni Kikwete.

Nashukuru, sijaona majina ya waislam yanayozidi mawili.
Mungu mkubwa Jamani. Hao ndio wasomi wetu tunaojisifia...
 
ImageUploadedByJamiiForums1416858296.813844.jpg
 
ruhansia.jpg

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Prof. Dr. John Eudes Ruhangisa[/FONT]
 
Usiyatazame majina kwa jicho la udini. Haya ni majizi na wala hayawakilishi sisi wakristo. Jitu halifu ni halifu tu, halina dini. Usitupeleke mahali ambapo tutapunguza nguvu zetu za pamoja dhidi yao. Wizi wao unawaathiri waislam, wakristo, wapagani na kila mtu. Lakini usisahau kuwa aliyeidhinisha pesa itoke kadiri ya utetezi wa benki kuu ni Kikwete.

Nafikiri huyu anataka kuleta mjadala usio na tija.
Mapapa wa hii skendo inaelekea huyu jamaa hawajui .Ukianzia na yule naibu waziri wa Fedha aliyeidhinisha fedha ziporwe wakati Dr.Mgimwa akiwa amelazwa.Bila kumsahau mwenye nchi mwenyewe.Yule Singasinga.Hawa ndio mastar wa ujambazi huu wa benk.
Ila hakuna aliyetumwa na dini yake ni tamaa zao tu na tusitumie dini kuwatetea au kuwahukumu.
 
Jamani eeeo ,napendekeza mutuwekee picha za wanaotajwa kuwa ni wahujumu uchumi kwa kugawana hela za umma ,wengine hatuwafahamu hasa ukizingatia wengine ni wageni kwenye masikio.
images

Fredrick-Werema-November22-2014.jpg
Werema Ni Mwanasheria Mkuu wa Taifa la Tanzania.(Educated in Bolivia where he learned how to privatise electricity companies.

.
images
Mizengo Pinda Waziri Mkuu wa Taifa la Tanzania.

images
Anna Kajumulo Waziri wa Ardhi n.k wa Taifa la Tanzania (Former UN under secretary- General) aibu tupu.Second highest ranking woman in Africa,in UN system.

9k=
images
Sospeter Muhongo,Waziri wa Nishati na Madini wa Taifa la Tanzania.Tanzania geolost

images
Eliakim Maswi Naibu wa waziri wa Nishati

Kwenye list ungeanza na Prof Busha
 
Hivi Maswi anacheo hicho ulichokitaja hapo kwenye uzi wako?
 
Back
Top Bottom