Sura ya kibabe ya mh Heche (mb)

Hajaridhishwa Nadhani Na Kinachosemwa Na Huyo Mh
 
Hiyo kanda maalum wapo kibabe ngoja nitag alete mrejesho alikuwa anawaza nini
 
Kuna kidume alikuja jimboni kwake akamwambia atoe mikono mfukoni, kwa unyenyekevu wa kiwango cha lami akaitoa mikono kutii amri.
Fahari wawili hawakai zizi moja! Pale angemropokea, anajua nini kingetokea, mpaka wanamnyang'anya kipaza sauti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…