Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,714 Reaction score 128,399 Mar 23, 2014 #2 Duuuh hii nayo kali.
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,269 Mar 23, 2014 #3 mzee tola wakulia gizani
T THE WATCHER Senior Member Joined Jan 14, 2014 Posts 194 Reaction score 64 Mar 23, 2014 #4 Jamaa wa aina hiyo ndo huwa hawataki kusikia habari ya kuwa na familia, na hofu yao kubwa huwa ni msosi tu. Utasikia akiulizwa kwanini hadi sasa hujaoa bado? jibu linakuwa "kulea familia kazi sana"
Jamaa wa aina hiyo ndo huwa hawataki kusikia habari ya kuwa na familia, na hofu yao kubwa huwa ni msosi tu. Utasikia akiulizwa kwanini hadi sasa hujaoa bado? jibu linakuwa "kulea familia kazi sana"