Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
This is against your previous Michelle Obama's Comments. Hongera Nyani kweli siku hizi post zako ziko juu sana, yaani nyani umekuwa na busara sana sijui kwa nini, au umeoa hivi karibuni nini?.
this is for men,nini muhimu kwako zaidi unapoanza uhusiano na bibie wako mpya. does a beautiful face matter over a bangin body or is the other way around?
wewe kama mwanaume utachagua nini kwanza ?
Mimi nadhani character ni muhimu kuliko vyote. Binafsi nitaanza na character na mengine yatajipa yenyewe tu. Of course there has to be some physical attraction also....but character is paramount
Mkubwa NN ni kweli 'Uzuri wa mwanamke ni tabia na si sura',lakini mkubwa kuna sura nyingine japo zina tabia nzuri zatisha na inakuwa ni noma hasa kwenye masuala fulani ya 'mtokooooz' kwenye hafla na sehemu mbalimbali zinazojumuisha halaiki
Ndio maana nikasema pia ni lazima/ muhimu uwe physically attracted kwa huyo mtu. Sasa hii ni subjective. What turns me on may not be the same as what turns you on. For example, I'm a boob man. I love boobs. I just can't get enough of them. Mmmmhhhh...mmmhhhhh...mmmhhhhh
Officially we have Boob Man on JF alias Nyani Ngabu alias Leanback ha ha ha ha Sasa mbona hujatwambia size gani unapenda!?
C cups and up!
Matokeo yake ndiyo haya mnayaona these days kila mwanamke anataka c cup kisa mwanaume wake hayupo happy with how she look...guys youneed to understand not all women are the same,and know that not all men are the same too, kuna wanaume wengine wako worse than others...msitake nianze hapa maana you guys think you all perfect but in really life you all not pererfect...
Point to ponder - ikumbukwe - Mungu ameumba watu wote wazuri - I am talking of the inner man - hii body is just like a house to that person - hivyo uzuri wa mtu ni ndani ya moyo - unaweza ku - admire nje halafu ndani kumeoza - hivyo TABIA matters - mwanamke yoyote ni mzuri - akipambwa of course - hata kama we are talking of natural beauty lakini - aoge, avae vizuri, ale vizuri, awe na muda wa kupumzika - apendwe na wanaojua kupenda - outomatically atakuwa chombo kizuri - so men - mkiona vyaelea vimeundwa!!!!!!!!!!!!!
Sweetheart, what's wrong with you today? You sound upset about something. Is it something I did or say? Talk to me....
You need not worry....you got the whole package......me and you can talk about "global warming" (I have to admit this had me cracking up) and still kick it the only way we know how....
pole kelly01..tema nimchape aliyekuudhi
he doesnt deserve mrembo like u....kick his....to the curb
Oh well i guess you know me very well pookie..to say the truth yes somebody did upset me jana kwa kweli..Apparently i was having a conversation then all the suddleny akaharibu hali ya hewa,nikawa so dissapointted.You know kama nilivyosema kuna wanaume wengine wako very slow in thinking you know what i am saying!....with that sayind he made me angushia all my hasira to you...let me finish by saying i am sorry ok.
hey there my sugar plum.....just let not your heart be troubled.
you are still number one on my christmas list!!!