Murder she wrote...?
huo ndo ukweli mnaficha makucha mukisha ingia kwenye ndoa tu tabu inaanza nami nina ushaidinakataa ndugu yangu roho ya mtu haibadiliki hata aificheje hata nyie wanaume japo si wote mko hivo na naonge hapa nina xperience nalo jambo hili
huo ndo ukweli mnaficha makucha mukisha ingia kwenye ndoa tu tabu inaanza nami nina ushaidi
takwimu zinaonyesha wanaume wengi wanabadirika baada ya ndoa
takwimu zinaonyesha wanaume wengi wanabadirika baada ya ndoa
lady furahia. mm cna tatizo OVERuna tatizo wewe mtoa mada
roho na tabia ya mtu huwaga haifichi kamwe asilani hta kama bado hajaolewa au ameolewa atakuwa vilevile tu
labda wale wanaojifanyisha tu ila tabia ya mtu haifichi kabisaaa
Wanawake wana sura mbili
1:kabla ujamuoa au ujafunga naye ndoa;
kipindi hiki mwanamke ata kufanyia mambo mengi sana ili akuonyeshe kma anakupenda pia ata wapenda ndugu zako mama mkwe na wifi zake.
Atashiriki kwenye kila jambo la uzuni na furaha pia ata kma una watoto wa nje ata wapenda na kuwaletea zawadi mbele yako kma peni madaftari na vitu mbalimbali pia ata wewe ukipumua ata kupa pole.
2:Baada ya kufunga ndoa;
Hapo sasa ndio anaanza kuonyesha tabia zake hatawajali ndugu zako kma zamani malingo yataongezeka pia ata wachukia watoto wako wa nje ata kuwa na kiburi ata wachukia wifi zake na wakwe zake.
NB:Usidanganyike na tabia za mwanamke kabla ajaingia kwenye ndoa.
takwimu zinaonyesha wanaume wengi wanabadirika baada ya ndoa
huo ndo ukweli mnaficha makucha mukisha ingia kwenye ndoa tu tabu inaanza nami nina ushaidi