R Rev Fr KABOKA mchizi Member Joined Feb 20, 2012 Posts 93 Reaction score 11 Apr 5, 2012 #1 Nawasalimu wote! Imeamriwa usile nyama siku ya Ijumaa kuu. Nawakumbusha wale wenzangu na mimi mnaowahi kwa "mangi" kupata supu asubuh asubuh. Pia tukumbuke kwenda kwenye ibada. Asanteni, maandalio mema ya PASS'OVER..
Nawasalimu wote! Imeamriwa usile nyama siku ya Ijumaa kuu. Nawakumbusha wale wenzangu na mimi mnaowahi kwa "mangi" kupata supu asubuh asubuh. Pia tukumbuke kwenda kwenye ibada. Asanteni, maandalio mema ya PASS'OVER..
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Apr 5, 2012 #2 hata ivyo supu kesho haitakua tamu kiivyo...maana hako kam-mbwa alikopita nako mangi hapa hakana afya kabsaa!
hata ivyo supu kesho haitakua tamu kiivyo...maana hako kam-mbwa alikopita nako mangi hapa hakana afya kabsaa!
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Apr 5, 2012 #3 BAGAH said: hata ivyo supu kesho haitakua tamu kiivyo...maana hako kam-mbwa alikopita nako mangi hapa hakana afya kabsaa! Click to expand... . Mkuu BAGAH upo? Nakumbuka ule uzi ulioanzisha those dayz lol. Naona huyo mangi ukoo wake ulianzia kule kwa akina Chifu Mkwawa..
BAGAH said: hata ivyo supu kesho haitakua tamu kiivyo...maana hako kam-mbwa alikopita nako mangi hapa hakana afya kabsaa! Click to expand... . Mkuu BAGAH upo? Nakumbuka ule uzi ulioanzisha those dayz lol. Naona huyo mangi ukoo wake ulianzia kule kwa akina Chifu Mkwawa..
WaliNazi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 851 Reaction score 96 Apr 5, 2012 #4 ...aiseee u r really a Rev.
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Apr 5, 2012 #5 SI unit said: . Mkuu BAGAH upo? Nakumbuka ule uzi ulioanzisha those dayz lol. Naona huyo mangi ukoo wake ulianzia kule kwa akina Chifu Mkwawa.. Click to expand... M.O.S.H.I (MUNGU ONESHA SEHEMU HELA ILIPO)...kichaga...LOL...! sasa wameingilia mpaka kazi za kina HEHE!!. SI Unit nipo mwingi niaje!
SI unit said: . Mkuu BAGAH upo? Nakumbuka ule uzi ulioanzisha those dayz lol. Naona huyo mangi ukoo wake ulianzia kule kwa akina Chifu Mkwawa.. Click to expand... M.O.S.H.I (MUNGU ONESHA SEHEMU HELA ILIPO)...kichaga...LOL...! sasa wameingilia mpaka kazi za kina HEHE!!. SI Unit nipo mwingi niaje!
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Apr 5, 2012 #6 BAGAH said: M.O.S.H.I (MUNGU ONESHA SEHEMU HELA ILIPO)...kichaga...LOL...! sasa wameingilia mpaka kazi za kina HEHE!!. SI Unit nipo mwingi niaje! Click to expand... . Poa kiongozi. Naona rev. katukumbusha kitu cha ijumaa kuu!
BAGAH said: M.O.S.H.I (MUNGU ONESHA SEHEMU HELA ILIPO)...kichaga...LOL...! sasa wameingilia mpaka kazi za kina HEHE!!. SI Unit nipo mwingi niaje! Click to expand... . Poa kiongozi. Naona rev. katukumbusha kitu cha ijumaa kuu!
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,745 Apr 6, 2012 #7 Naomba kueleweshwa maana mi si msomaji saana wa biblia!! MSTARI UPI KWENYE BIBLIA unaokataza kukandamiza nyama siku ya ijumaa kuu. MP.
Naomba kueleweshwa maana mi si msomaji saana wa biblia!! MSTARI UPI KWENYE BIBLIA unaokataza kukandamiza nyama siku ya ijumaa kuu. MP.