hata kituo caha makumbusho kuanzia jioni ya saa 12.30 watu wanaisubiria na mahot-pot kwa ajili ya waume zao na midume ndo tunajaa kuigombea....ila kaka swali la msingi...kwani unataka supu ya pweza kwa ajili ya kushiba au ndo unaboost ma-performance yako??
vuka kigamboni!!Migahawa karibia yote iliyokaribu na kivuko inayo ila jioni flani hivi mida ya kama kumi na mbili au asubuhi sana kabla ya saa mbili!!kuna baa moja hivi pia iko kigamboni inaitwa lulu ipo mjimwema kuna kipindi walikua wanauza saana ila kwa sasa sina uhakika..hata soko la samaki magogoni unapata ila Mkuu hygiene ya pale sijui kama utaiweza!!!
Je unategemea nini ukishakunywa maana ushasema 'JIKO' huna!!!au nikuelekeze na pa kwenda kushushia???LOL
[/QUOTE]
Mzee naona mambo ya Foro kwa saaanaa!!!Pweza anapatikana kwenye mahoteli makubwa karibia yote ukianzia movenpick mpaka kempiski ila kama unavyojua wateja wengi wa pweza ni mtaani na kwa bei powa zaidi!!Kwa hiyo mkuu ukitaka pweza ni kitaa kwa sana tu!!usione aibu ndio kibongobongo hata matango yaliyokwisha menywa yanapitishwa barabarani!!