Supu ya kuku wa kienyeji

Dah jamaa una raha sana.Kwa ulaji huu lazima kalio litakuwa dodo.Any way ngoja na.mimi kinyonge nionyeshe nachokula mchana huu kwa urefu wa kamba yangu

 
Hivi kuna tofauti kati ya mchemsho na supu?

Mara kwa mara naenda kule kwa Dangote, supu ile ya pale Somanga ni tofauti sana na hiyo ila naikubali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…