magufuliforpresident
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 159
- 59
This The Superman Mbowe Ni Bingwa Wa Stayle Ya Makato Kwa Wale Wagonga Karata Mnaujua
Hakuna uwezekano hata wa asilimia 30 kwa CHADEMA kuweza kushinda uchaguzi wa mwaka huu..,kwa maana hiyo ni kuwa MBOWE aanze mazoezi ya U-dj kama ilivyo katika mapendekezo yako hapo juu..Nashukuru.KAMA chadema itashindwa katika uchaguzi huu ndio mwisho wa siasa wa mbowe arudi KUA dj
Kwa jina lake lililoandikwa kwenye Passport anaitwa FREEMAN AIKAELI MBOWE mtoto wa kimachame mwenye akili za kupata na anachukia kukosa..hakika mwaka huu amepata sana lakini CHADEMA wamepatikana.mbowe ni mtu mbaya sana katika siasa za nchi hii,mbinafsi sana amekuwa akiwanyima haki wanachama kupata fursa ya kuwahoji viongozi wa juu pamoja na mwenendo wa chama.Na inapotokea mwanachama anania ya kujua baadhi ya mambo ndani ya chama basi uhai wake ndani ya chama ni mdogo sana,ataitwa kila jina ooh...msaliti mara mamruki,ametumwa kukiujumu chama n.k.
Huu ni udhalirishaji kwangu mie niliyeiamini CDM ya 2005-2014 ..yaani huwezi kujiuliza credibility ya chama na viongozi walioko CDM leo? yaani kwasababu tu chama ni cha mkwe wake ndo anapata kuwaona wenye mtizamo tofauti na yeye kwamba watafukuzwa chama? kwasababu tu yeye anaelewa hawezi kufukuzwa hata avurunde vipi basi anatumia mwanya huohuo kuwaita wenzie eti wanataka kuwa juu ya chama, kwamba yeye ni msafi na hana doa ndani ya chama? kwamba atakayetofautiana naye basi kawa juu ya chama, hii ndo demokrasia? ..na watafukuzwa wengi kwasababu chama kina wenyewe, na ukidai mwongozo unaitwa msaliti ..ni bora hata CCM japokuwa wanafumbafumba lakini demokrasia yao walau inapimwa, tumeona watu 42 walipewa nafasi ya kuchukua fomu na walau tuliona Sera zao ndani ya chama kitu amabcho CDM ni ndoto, wanasubiri mfalme ateue.
mbowe ni mtu mbaya sana katika siasa za nchi hii,mbinafsi sana amekuwa akiwanyima haki wanachama kupata fursa ya kuwahoji viongozi wa juu pamoja na mwenendo wa chama.Na inapotokea mwanachama anania ya kujua baadhi ya mambo ndani ya chama basi uhai wake ndani ya chama ni mdogo sana,ataitwa kila jina ooh...msaliti mara mamruki,ametumwa kukiujumu chama n.k.
Umemaliza yoote.,sina la kusema.UKAWA TOLEO JIPYA HAIFAI KUPEWA DHAMANA YA KUONGOZA TAIFA HILI PENDWA LA JMT, NI GENGE LA WAHUNI, WASALITI WA MISINGI YAO, VIGEUGEU, WANAFIKI NA WAZANDIKI WALIOTUKUKA, watanzania hatupo tayari kuuza nchi yetu, TUMESHASEMA KWA WINGI KUWA HATUTACHAGUA UKAWA TOLEO JIPYA.
Mliotolewa ufahamu endeleeni na UZEZETA WENU.
KAMA chadema itashindwa katika uchaguzi huu ndio mwisho wa siasa wa mbowe arudi KUA dj
Mhhh hii hoja mpya...inafikirisha, jambo ambalo watanzania wengi hawalipendi ingawa inawalazimu kulifanya.Mbowe is a very dyanamic politician. Yeye ndiye amefanya siasa za mwaka huu ziwe na mvuro pekee. By the way mkumbuke kwamba km sio ujanja huu wa Mbowe Cuf tusingekuwa nao leo. Ilikuwa Slaa angepitishwa Cuf wangejitoa na kuyngana na Zitto. Ndio uliokuwa mpango wa Lipumba na ccm. Chadema tulikuwa tuingie wenyewe. Ccm walikuwa wameshawekeza kwa Lipumba. Ila Mbowe kacheza km pele!
Huu ni udhalirishaji kwangu mie niliyeiamini CDM ya 2005-2014 ..yaani huwezi kujiuliza credibility ya chama na viongozi walioko CDM leo? yaani kwasababu tu chama ni cha mkwe wake ndo anapata kuwaona wenye mtizamo tofauti na yeye kwamba watafukuzwa chama? kwasababu tu yeye anaelewa hawezi kufukuzwa hata avurunde vipi basi anatumia mwanya huohuo kuwaita wenzie eti wanataka kuwa juu ya chama, kwamba yeye ni msafi na hana doa ndani ya chama? kwamba atakayetofautiana naye basi kawa juu ya chama, hii ndo demokrasia? ..na watafukuzwa wengi kwasababu chama kina wenyewe, na ukidai mwongozo unaitwa msaliti ..ni bora hata CCM japokuwa wanafumbafumba lakini demokrasia yao walau inapimwa, tumeona watu 42 walipewa nafasi ya kuchukua fomu na walau tuliona Sera zao ndani ya chama kitu amabcho CDM ni ndoto, wanasubiri mfalme ateue.
UKAWA TOLEO JIPYA HAIFAI KUPEWA DHAMANA YA KUONGOZA TAIFA HILI PENDWA LA JMT, NI GENGE LA WAHUNI, WASALITI WA MISINGI YAO, VIGEUGEU, WANAFIKI NA WAZANDIKI WALIOTUKUKA, watanzania hatupo tayari kuuza nchi yetu, TUMESHASEMA KWA WINGI KUWA HATUTACHAGUA UKAWA TOLEO JIPYA.
Mliotolewa ufahamu endeleeni na UZEZETA WENU.