The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,214
- 3,353
Ni nini manufaa ya CUF kususia uchaguzi wa marudio je wana mbinu gani mbadala iwapo serikali na CCM wakaamua kuendelea na uchaguzi bila CUF?
ni nini manufaa ya cuf kususia uchaguzi wa marudio je wana mbinu gani mbadala iwapo serikali na ccm wakaamua kuendelea na uchaguzi bila cuf?
Cuf inakuwa imekula kwao!!!!! hapo ccm wayafurahi sana
Kama CCM wakaifanya uchaguzi kwa nguvu Zanzibar ndio utakuwa mwanzo wa kuitangazia uhuru . Athari zitaikumba zaidi Tanzania. Kumbuka kitu kimmoja tu, kupitia Mpango wa Millenium Tanzania iliahidiwa na Wamarekani watapewa zile Milioni 478$ Dolla za kimarekani lakini Uchaguzi ukiwa wa Haki na Uhuru. Zanzibar haijuilikani kimataifa inayojuilikana ni Tanzania.
Jiulize kama CCM Zanzibar watafanya uchaguzi wa marudio kwa Ubabe kitakachotokea ni nini?
Wakisusia au washasusia.Ni nini manufaa ya CUF kususia uchaguzi wa marudio je wana mbinu gani mbadala iwapo serikali na CCM wakaamua kuendelea na uchaguzi bila CUF?
Ccm wakifanya uchaguzi kibabe ni lazma kitanuka.
Kitanukaje fafanua?
Yatakuwa kama ya nkurunziza na upinzani hatima yake mizinga 21 hewani km kawa.
Uchaguzi siyo wa CCM wala CUF uchaguzi ni wa ZEC ni busara tu inatakiwa
Uchaguzi siyo wa CCM wala CUF uchaguzi ni wa ZEC ni busara tu inatakiwa