Mbona yeye dialogue na wamachinga imemshinda na ameamua kutumia mtutu wa bunduki kuhalalisha utekelezaji wa mikataba yake na wachina!! Je atahitaji askari wangapi kulilinda hilo bomba kutoka Mtwara mpaka Bagamoyo?? He has no moral authority to advocate the use of dialogue as a tool to end disputes!!!
Actually haya ni mambo ya ndani ambayo yanatukera hata sisi, lakini kuunga mkono taifa la nje kutudharau sio uzalendo.Mbona yeye dialogue na wamachinga imemshinda na ameamua kutumia mtutu wa bunduki kuhalalisha utekelezaji wa mikataba yake na wachina!! Je atahitaji askari wangapi kulilinda hilo bomba kutoka Mtwara mpaka Bagamoyo?? He has no moral authority to advocate the use of dialogue as a tool to end disputes!!!
Mkuu vipi, Umepata kigugumizi? Nasikitika we kujiita mLiberal halafu hujui siasa.... Pole !! FYI Rais JK. nasema kwa ufahari wote kuwa ni Rijali na Mkweli, Katoa ufumbuzi wa suluhisho la Wanyaruwanda wote bila kuogopa wala kuelemeakikwete mnafiki, wote ni wale wale, wanasema nyani haoni kundule, mbona serikali ya ccm inua watu na inabambika kesi watu, haki iko wapi?? ni bora kikwete anyamaze kwenye majukwaa ya kimataifa, hata yeye si msafi hata kidogo,
Wanyarwanda wenyewe wanamsupport, ndio iwe watanzania?Hapa kwa kweli siungi mkono wazo la kuwaomba radhi wanyarwanda, sioni ubaya wowote wa kauli ya Kikwete nadhani wana chuki na Tanzania.
Bora madodoki na matango, hata mtu mwenye akili timamu anaweza akachanganyaAcha kufananisha madodoki na matango.
Bora madodoki na matango, hata mtu mwenye akili timamu anaweza akachanganya
huyu anafananisha tambi na mboga majani, mwanamuziki yondo na marijani #DogoMfaume
uchi gani? Mtu kusema kua migogoro na vita vitaisha watu wakikaa na kuongea kila mtu kwao ni kosa?Huyu kiongozi wenu kama yamemshinada ya nyumbani kwake ya huko nje atayaweza? Acheni unafiki hizo njaa zenu zinawapeleka kubaya!! Mtu wenu yuko uchi lakini kwa unafiki mnamwambia amevaa nguo?
Mkuu vipi, Umepata kigugumizi? Nasikitika we kujiita mLiberal halafu hujui siasa.... Pole !! FYI Rais JK. nasema kwa ufahari wote kuwa ni Rijali na Mkweli, Katoa ufumbuzi wa suluhisho la Wanyaruwanda wote bila kuogopa wala kuelemea
upande mmoja. Hapo siye kwanza tunamuunga mkono na BRAVO for that, Pili Matafia yote yameridhika kuona msimamo wa Tanzania ulivyo. kwani wanajua machafuko yakiendelea huko yatatapaka na kufika kwetu na kwa jirani wote.
Tatizo wengi humu nchini mnachanganya ya ndani na ya nje katika chungu kimoja. tafakari na uchakachue ukweli.
tupo pamoja kwa heshima ya nchi hii.
hivi haya matamko mbona siyaelewi? kuna tamko jingine la wahanga wa mauaji ya kimbari wamemponda sana JK... sasa wameibuka wengine tena wanamsifia?.... lakini hii ya kumsifia itakuwa imeandikwa hapahapa bongo tuache kudanganyana banaWanyarwanda wenyewe wanamsupport, ndio iwe watanzania?
Hivi kati ya anae promote dialogue na anae promote vita
nani anatakiwa kuonea position yake aibu? hii yote propaganda
wanyarwanda wengi sana wameona alio sema kikwete ni sahihi
Jamaa ni mnafiki hakuna lolote!
Waheshimiwa nina wahakikishia hao WanyaRuwanda wanatafuta vibaraka wao hapa nchini na hayo ndiyo malengo yaouchi gani? Mtu kusema kua migogoro na vita vitaisha watu wakikaa na kuongea kila mtu kwao ni kosa?
NInavo hisi mimi hii ni retaliation ya Rwanda kwa Tanzania baada ya Tanzania kuchukua uongozi katika kujaribu kurudisha amani mashariki mwa Congo. For a long time the leaddership in the talks was either Rwanda or Uganda but since the peace protocol of Adis in Feb Tanzania imeonesha leadership mpya ambayo ipo unbiased na inakubalika kimataifa, inakubalika pia na wananchi husika (Congolese).Waheshimiwa nina wahakikishia hao WanyaRuwanda wanatafuta vibaraka wao hapa nchini na hayo ndiyo malengo yao
yatatimia, Kwani Hakuna sababu yeyote kuupinga mjadala huu. Pendekezo la Mheshimiwa rais JK siyo ishu wala BIG DEAL,
kwa kuwa marais wengi walishajitolea matamshi kama haya katika CRISIS nyingi na hususan matatizo ya RWANDA/CONGO/BURUNDI(Great Lakes region) hayo sii ya Ajabu.!! ukweli Laa ajabu humu nchini kuna kundi lataka kutelezea na kupitia mgongoni .... wapate kunyakuwa kitita cha kujikimu mbeleni. " ..... " Nafikiri mumeelewa wajuzi ukweli.
NB.
Mh.Rais TZ aliwapatanisha Wa kenya.nk
Mkuu Matusi ya nini..... chambua utaelewa kusudio la Ruwanda hao wanyaRu hawatutakii heri wana yao.Jamaa ni mnafiki hakuna lolote!
That is TRUE.NInavo hisi mimi hii ni retaliation ya Rwanda kwa Tanzania baada ya Tanzania kuchukua uongozi katika kujaribu kurudisha amani mashariki mwa Congo. For a long time the leaddership in the talks was either Rwanda or Uganda but since the peace protocol of Adis in Feb Tanzania imeonesha leadership mpya ambayo ipo unbiased na inakubalika kimataifa, inakubalika pia na wananchi husika (Congolese).
From the mission lazima TZ will unearth scandals nyingi zinazoonesha wazi wazi implication ya Rwanda katika vita ya Congo. It could be an anticipative move to undermine TZ credibility ili watakapo toa report zao na kusema kua kuna mkono wa Rwanda in the Congo wenyewe waseme: kwanza TZ hawatupendi, toka mwanzo ni genocide sympathisers.